Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Hivi ni kweli hadi leo watumishi wa halmashauri za wilaya hawajapata mishahara yao? Kama ndivyo, kunani?
 
pesa za mishahara zilipelekwa igunga wakuu! sasahivi serikali inahaha jinsi ya kuzi-replace, muendelee kuvuta subira tu, labda kwenye tarehe 15 hivi mambo yatakuwa sawa!
 
Mh! Bora mi mfuga kuku hayo ya kusubiri kukinga mwisho wa mwezi ngumu aisee.
 
Hali ni mbaya na tete kuliko wengi tunavyo-comment hapa.............
 
Ninachofahamu kwa hapa UDSM uongozi umetoa waraka leo hii ukiwaeleza wafanyakazi kuwa Mshahara utachelewa kutokana na sababu za kiufundi na kwamba wafanyakazi wanaombwa kuvuta subira hadi tarehe 03/10/2011 ndio mishahara itatoka IWAPO TU HAKUTAKUWA NA KUKATIKA KWA UMEME!!!!!!!!!!!! Hapo sasa na chuo kinafunguliwa tarehe 03/10/2011 Patamu hapo???????
 
Mibinuko ya serikali yetu mpaka raha yaani hata mishahara mpaka Rostam awakopeshe. Ok nimekumbuka wanasubiri kuona kama watashinda igunga wasiposhinda tutaambiwa hela hakuna. Pia kuna uwezekano mkubwa hela ikatoka jumamasi 01/10 jioni ili jumapili ya tarehe 02/10 basi wafanyakazi wengi wakawe busy na kuchukua hela ktka atm na kulipa madeni na kusahau kupiga kura za kuiondoa ccm igunga.Nimewagundua hawa mbulukenge!
 
Huu ni upuuzi, haiwezekani umcheleweshee mtu chake na hata taarifa isitolewe usitoe.
 
pesa za mishahara zilipelekwa igunga wakuu! sasahivi serikali inahaha jinsi ya kuzi-replace, muendelee kuvuta subira tu, labda kwenye tarehe 15 hivi mambo yatakuwa sawa!

una uhakika na unachosema. Hapa watu wapo serious.
 
Hata hiyo tar 15 hamna matumaini kabisa mie na kamshahara ka laki moja. Maduka yote mtaani nimeshakopa hata hawataki kunikopesha tena. Inauma sana
 
Hadi dakika hii hakuna mtumishi wa serikali kuu(central government) au serikali za mitaa(local government) ambaye ameshalipwa mshahara wake wa mwezi september nchi nzima,hii ni kinyume cha sera ya serikali kuwa watumishi wote wa umma wanatakiwa kuwa wameshalipwa mishahara yao kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.

Wadadisi wa mambo wanasema pesa ya mishahara itakuwa imekopeshwa ama kupewa ccm ili zitumike katika kampeni za huko Igunga.
Kuna miezi 3 ya nyuma huko serikali ilikopa pesa kwa ajili ya kulipa watumishi wake(source: Zitto Kabwe na Mkulo alishindwa kukanusha) hasa waalimu,manesi na madaktari,
sasa huenda kupelekwa Igunga kwa mishahara hiyo ikawa ni uzushi na ukweli ukawa serikali haina pesa na haijapata nchi,kampuni au mtu wa kukopa.

Hii ni aibu na kukosa uwajibikaji wa rais wetu.
 
Utasikia serekali inasema kuna amani ya kutosha na msibeze maendeleo yaliyopatikana mpaka sasa.
 
Hadi dakika hii hakuna mtumishi wa serikali kuu(central government) au serikali za mitaa(local government) ambaye ameshalipwa mshahara wake wa mwezi september nchi nzima,hii ni kinyume cha sera ya serikali kuwa watumishi wote wa umma wanatakiwa kuwa wameshalipwa mishahara yao kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.

Wadadisi wa mambo wanasema pesa ya mishahara itakuwa imekopeshwa ama kupewa ccm ili zitumike katika kampeni za huko Igunga.
Kuna miezi 3 ya nyuma huko serikali ilikopa pesa kwa ajili ya kulipa watumishi wake(source: Zitto Kabwe na Mkulo alishindwa kukanusha) hasa waalimu,manesi na madaktari,
sasa huenda kupelekwa Igunga kwa mishahara hiyo ikawa ni uzushi na ukweli ukawa serikali haina pesa na haijapata nchi,kampuni au mtu wa kukopa.

Hii ni aibu na kukosa uwajibikaji wa rais wetu.

Acha kuleta uzushi na uchonganishi. Mishahara imeshatoka toka juzi
 
...........Nasikia kuna hali mbaya pale hazina...hii ndio CCM bwana,utaipenda!!
 
Vitegemezi vina matatizo sana. Vijitu vyenyewe bado vinakula kwa mama eti navyo vinalalamika mshahara umechelewa.

Ndio ushangae sasa! Mtu hata cheki namba hana eti analalamika mishahara haijatoka. Hebu na aulize wenye ATM tumweleze.Acha uzushi na usitegemee salio la mtu. Kama unamdai mtu basi jua kakuingiza chaka. Usikurupuke tu halaf unapost pumba.
 
Hadi dakika hii hakuna mtumishi wa serikali kuu(central government) au serikali za mitaa(local government) ambaye ameshalipwa mshahara wake wa mwezi september nchi nzima,hii ni kinyume cha sera ya serikali kuwa watumishi wote wa umma wanatakiwa kuwa wameshalipwa mishahara yao kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.

Wadadisi wa mambo wanasema pesa ya mishahara itakuwa imekopeshwa ama kupewa ccm ili zitumike katika kampeni za huko Igunga.
Kuna miezi 3 ya nyuma huko serikali ilikopa pesa kwa ajili ya kulipa watumishi wake(source: Zitto Kabwe na Mkulo alishindwa kukanusha) hasa waalimu,manesi na madaktari,
sasa huenda kupelekwa Igunga kwa mishahara hiyo ikawa ni uzushi na ukweli ukawa serikali haina pesa na haijapata nchi,kampuni au mtu wa kukopa.

Hii ni aibu na kukosa uwajibikaji wa rais wetu.
acha uzushi wewe mimi mshahara wa september nimepata tangu jumamosi wiki iliyopita tarehe 24/9/2011
 
Back
Top Bottom