Magamba ndiyo yanayolipa mishahara? tofautisheni utendaji na siasa.Wa2 hatujapata mishahara mpk leo acheni kuitetea serikal wkt ni kwel wa2 kila cku wapo kwny ATM kama nyie mmepata ni wale walamba miguu ya magamba

Acha uhuni na wewe na kuudanganya umma, labda mmepewa ninyi makada wao, lakini sisi hatujapewa mpaka sasa
ndiyo maana wengine wanasema mnatumwa kupost upupu humu ndani ya JF. wenzako tunasema hatujapata wewe unatoa majibu ya jumla jumla, toa majibu kisayansi, kwani ukisikia kuna ugonjwa TZ utasema TZ nzima ugonjwa umeenea, hivyo kama umepata ww usiseme wote wamepata. Ukiona wenzako tunalalamika we mean it hali ni mbaya
mshahara wa serikali haujatoka jamani msitetee kila ujinga,kuna mshikaji wangu tulikuwa nae jana usiku sana kaenda ATM hola,alafu alikuwa anataka aendeleze bata mpaka asubuhi ikabidi tukalale tu
Mpka sasa ac yangu haijasoma ndg zang mliopata japo kwa kuchelewa hongeren. Ila nimepata matumain kuwa soon itasoma coz imeanza kwa wengine.