Dunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,032
Reaction score
2,600
Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.

Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.

“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
 
What is your point nigga?
My point is katika mambo ambayo ccm na gvt yake walichemka ni swala la lisu Kuanzia kumshambulia risasi 32 kumfukuza ubunge na jambo lake kutofanyiwa upelelezi wowote na vyombo ukiachia mbali ni zile abductions za kishamba je BBC wamegusia mambo haya ya kushangaza ? Bila kusahau 29102025?
 
Wamegusia yote mkuu, actually wameyaongelea kwa kina with conviction
 
Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.

Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.

“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Watu hupotea, kutekwa na kuuwawa sababu ni mapenzi, madeni na kutaka umaarufu.....Jaji Chande
 
Mungu mkubwa hatimaye tumepata SAUTI ya kutusemea. Wakati mitivii yetu ya ndani mitakataka ITV tbc clods nk inaona tunavyoonewa wao wamechaguwa kuwa upande wa watesi wetu na sio umma wa watanzania.
Yaani hivi TV zetu za ndani, ni MAJANGA..kazi kusema mabaya ya CDM tena wakiwa wameshupaza shingo haswa
 
Mungu ataendelea kumlinda Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, dhidi ya mafedhuli, wachawi, wazushi, waongo, wenye wivu, wenye chuki za kidini au zozote zile na wenye uchu wa madaraka. Ataendelea kung'aa Hadi 2030 zamu ya mwingine itakapofika.
 
Mungu gani???
Hakuna mungu anayetetea msimamizi wa wizi, ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji, ukatili dhidi ya wanyonge, uonevu, ubambikaji kesi za uongo, na maovu na uhalifu mwingine mwingi
Mkuu naona unatumika bila mwenyewe kujijua; hivi ni Dr Samia alisimamia ufirwaji wenu?!!!!

Anyway, mi nazungumza na M/Mungu, mweza wa yote, mwenye kuyajua kwa kina yaliyo ndani ya mioyo yetu na siyo yanayotoka midomoni pekee; mwenye kuyajua yanayopangwa gizani na sio haya yanayotolewa hadharani pekee. Huyo ndiye sisi tusiye na chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunaongea nae na kumuomba.
 
Wewe bhana unadhani Mungu ana akili ndogo kama yako ya kukubali sifa za kichawa? Samia kaua maelfu ya watanzania October 29, hili tu pekee halikubaliki mbele za Mungu
 
Back
Top Bottom