DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimelikumbuka sakata la kiwanda cha aina hiihii kiitwacho Shujaa cha Shinyanga kilivyowatoa ngeu Meneja wa TRA Mkoa na RPC wa mkoa ule kwa kashfa ya aina h

Nimelikumbuka sakata la kiwanda cha aina hiihii kiitwacho Shujaa cha Shinyanga kilivyowatoa ngeu Meneja wa TRA Mkoa na RPC wa mkoa ule kwa kashfa ya aina hiihii.
Story zinalingana kabisa
 
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali.

-Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango.
-Unyanyasaji kwa wafanyakazi.
-Halipi WCF mfanyakazi akiumia kazini ni juu yake.
-Pombe zinatengenezwa kwenye mazingira mabovu( Hamna vitendea kazi kwa wafanyakazi)

Serikali naomba mlimulike hili.
Pombe ikitengenezwa katika mazingira machafu ndo inakuwa Bien glass 1 tu chaliiii cha mende
 
Acha roho mbaya kama unataka kulipa tra si uchukue mshahara wako upeleke nyewe? Hua sipendi kulipa afu wanaiba wengine bora wote tuibe
Hii inafikirisha kama uko kwenye ajira au hata umewahi ajiriwa! PAYEE akatwe mtu kwenye mshahara afu haiendi inapotakikana bado unaandika hayo? Mtu akisema mazingira mabovu ya kazi anamaanisha hata usalama na afya ya wafanyakazi havipo yaani OHS hakuna kiujumla ni hatari mfanyakazi kuumia, kudhurika na hata kupoteza maisha ktk mazingira ya kazi iwapo kiwanda hakina vitendea kazi muhimu. Afya ya mtu ni muhimu kiubinadamu afu equipments zinafuata na mazingira ya kazi
 
Ukweli 100%
 
Fungua na wewe kiwanda
Ajiri watu walipe mshahara
Wakati mwingine serikali hukaa kimywa ili wawekezaji wazawa wajitafute wapate mitaji

Sasa mtu kama ww mwenye mentality ya kimasikini unaanzisha mada ya kipumbavu

Ndio mana mm nimeajiri mkewangu na watt kwqnza ili nione kiwanda changu cha alizeti kinafika wapi

Fungua na ww kiwanda kama ni rahisi ivo
Kama nlivyomwelewa mtoa mada pesa yao wafanyakazi inakatwa kwenye mshahara ila haiendi panapohusika, mfano mtu ana mshahara wa milioni moja na nusu ila zinakatwa zile zoote zinazotakiwa kukatwa hadi NSSF ambayo ni akiba ya mwajiriwa iingie kwenye account ila haziendi, unakuta mtu ana basic hiyo ila zinakatwa wee anapokea 1,200,000 na zinakatwa lakini hazimfaidishi mwajiriwa unataka asihoji? Labda kama kiwanda hajakisajili kama company iwe kimesajiliwa tu kama biashara ya kawaida kama duka la mangi
 
Unaonekana umewahi fanya kazi viwandani au bado unafanya kazi
 
Mtu yeyote aliyepita kwenye hekaheka za ajira hizi za private companies ni lazima atajua stahiki zake, bila hivo kuna watoa comment humu wanatoa tu kwa mhemko hawajajua mtoa mada anasema nini mtu anakurupuka tu yaani tuseme hajui chochote hata tukiacha suala la unyonyaji wa maslahi suala la usalama mahali pa kazi ni la msingi kuliko vyote sema hizi companies za wabongo na wachina na makaburu wasauzi hawajaligi kabisa mambo ya AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI
 
Very true wanajali maslai Yao zaidi hata serikali kufuatila haya ni shida
 
Mungu akipenda nitaanzisha changu 💯 alcohol hili umalize chupa ya Mil 300 inatakiwa uwe umeacha na urithi kabisa.
 
Back
Top Bottom