Serikali kwa sasa inawatambuaje waliowahi kuajiriwa serikalini wakaacha ama kufukuzwa?

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Kama mtu amewahi kuajiriwa serikalini akafukuzwa kazi au kuacha inakuwa ngumu sana kurudi kuajiriwa serikalini, hii ina lengo zuri la kuwafanya watumishi watulie sehemu moja na wasiache ache kazi.

Hapo nyuma serikali ilikuwa inatumia mfumo wa Lawson kuwadaka watu waliowahi kuwa waajiriwa na ambao ni waajiriwa pindi walipokuwa wanaomba kuajiriwa tena serikalini, lakini kwa sasa serikali haitumii mfumo huo tena, na mfumo mpya hauna sehemu ya kuweka namba ya mtihani kidato cha nne ambayo ilikuwa inatumia kuwabaini waliowahi na walio kwenye ajira.

Je, kwa sasa serikali inatumia mbinu gani kuwabaini watu hao.
 
Unataka nini kwani mbona kama mbea mbea
 
Back
Top Bottom