Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Anayeniambia ni mshamba wa kusini na siyo mtaalamu wa mawasiliano 🤒😎kama nia yako kubisha endelea kubisha lakini fahamu anayekwambia ni mtaalamu wa mawasiliano kama umeona improvement basi ni hiyo backup link wanayotaka kuiupgrade capacity