Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Unajipogia tu spana? Hata kama nati haijalegea?
Serekali ya awamu hii ni waoga kupigwa spana kuliko serekali yoyote ile ambayo iliwahi kuwepo hapa Tanzania.Spana ni lazima kwa sababu bila spana hizi serekali za maruhani huwa haziwajibiki!View attachment 1714502
Hii filamu unaionaje?Tanzania tuna kiwanda kizuri namna hii cha hollywood?Haya siyo mambo ya kupiga spana?Unajipogia tu spana? Hata kama nati haijalegea?
Imagine huyo bumunda kwenye nchi ya watu million 60 amepewa vyeo viwili.Yaani katika watu huwa wanafanya mikutano na waandishi wa habari kwa mtindo wa kuudhi ni huyu jamaa. Ni bora awe anatoa press release ya kuandika ila kuongea huwa anaongea hovyo sana kama sio Professional wa tasnia ya habari kabisa
Au sijui ndo kujitoa ufahamu tu
Wapo wapo tuSerekali ya woga sijawahi ona...inafungia radio magazet Tv station lakini bado inaogopa kivuki chake
Siyo Serekali , neno sahihi ni Serikali√ Acha mazoea ,jenga uweledi!
Serekali ya awamu hii ni waoga wa kupigwa spana kuliko serekali yoyote ile ambayo iliwahi kuwepo hapa Tanzania. Spana ni lazima kwa sababu bila spana hizi serekali za maruhani huwa haziwajibiki!
View attachment 1714502
Wanataka watende Dhambi na wawe na amani. Imeandikwa hakuna amani Kwa mabaya.Formal media zote ni za kwako na zinaimba sufa zako saa 24/7.
TBC1, TBC FM, TBC TAIFA, CHANNEL TEN, MAGIC FM, RADIO UHURU, GAZETI MZALENDO, TV, GAZETI UHURU, HABARI LEO, DAILY NEWS, SUNDAY NEWS, TANZANITE ONLINE TV, TANZANITE GAZETI, JIJI, GLOBAL MEDIA, WASAFI MEDIA, CLOUDS TV, RADIO FREE AFRICA, ABOOD FM n.m
Lakini bado mnateseka na kuumia na vi-social media accounts vya Kigogo2014, Maria Sarungi na Fatma Karume.
Jamani CCM tendeni haki mpate Amani, hicho ndicho kitu cha msingi. Mmekuwa na tamaa ya kupindukia
Unajipogia tu spana? Hata kama nati haijalegea?