Serikali yaunganisha RITA na NIDA na Kufuta Mashirika mengine 20 ya Umma

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hongera Serikali Kwa kupunguza mzigo wa misumari Kwa walipakodi.

Hata hivyo Bado Kuna Utitiri wa mashirika, taasisi na wakala ambazo hazina maana zaidi ya kuleta usumbufu.

Mfano sijasikia mlipounganisha au kufuta kina Sido,Temdo,Tirdo,TanTrade,Mbrela na mizigo mingine kama hiyo..

Hayo 20 yawe ya kuanzia tuu ,Kuna mengi ya kufutwa na kuunganishwa maana yamekuwa mzigo sana Kwa walipakodi na hayana Tija

======
Pia soma Kongole kwa Serikali kwa kuondoa muingiliano wa kazi za TFDA na TBS, ikiwapendeza sasa muitazame RITA na NIDA

Serikali ya Tanzania imetangaza kufuta, kuunganisha na kuvunja mashika na taasisi za umma 20, ili kuongeza ufanisi wa utendaji na tija serikalini.

Uamuzi huo umetangazwa jijini Dar es Salaam leo, Ijumaa Desemba 15, 2023 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo alipozungumza na waandishi wa habari.

Ameyataja mashirika yanayounganishwa ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na Wakala wa Udhamini, Utambuzi na Ufilisi (Rita).

Mengine yanayounganishwa ni Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na Mfuko wa Pembejeo za Kilimo.

Profesa Kitila amesema Bodi ya Chai itaunganishwa na Wakala wa Wakulima wa Chai, huku Bodi ya Nyama ikiunganishwa na Bodi ya Maziwa.

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), amesema kitaunganishwa na Mamlaka ya Maeneo ya Uchakataji Mauzo ya Nje (EPZA), kadhalika taasisi za utafiti za Chai, Tumbaku na Kahawa zinaunganishwa kuwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (Tari).

Hata hivyo, ameyataja mashirika yatakayovunjwa ni Shirika la Uzalishaji la Jeshi la Polisi (TPSCF), Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC), Bodi ya Pareto na Shirika la Elimu Kibaha.
 
Hongera Serikali Kwa kupunguza mzigo wa misumari Kwa walipakodi.

Hata hivyo Bado Kuna Utitiri wa mashirika, taasisi na wakala ambazo hazina maana zaidi ya kuleta usumbufu.

Mfano sijasikia mlipounganisha au kufuta kina Sido,Temdo,Tirdo,TanTrade,Mbrela na mizigo mingine kama hiyo..

Hayo 20 yawe ya kuanzia tuu ,Kuna mengi ya kufutwa na kuunganishwa maana yamekuwa mzigo sana Kwa walipakodi na hayana Tija

View: https://www.instagram.com/p/C03jpkot2uD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Wangeunganisha na wizara

Wangeunganisha na kufuta baadhi ya Wizara..Tuna wizara na baadhi ya mawaziri ambao hawana msaada wowote kwa Taifa.

Kwa mfano tangu wizara ya madini na nishati ifanywe kuwa wizara mbili tofauti, kuna tija gani imepatikana? Matatizo ya umeme ndiyo yameongezeka.
 
Hongera Serikali Kwa kupunguza mzigo wa misumari Kwa walipakodi.

Hata hivyo Bado Kuna Utitiri wa mashirika, taasisi na wakala ambazo hazina maana zaidi ya kuleta usumbufu.

Mfano sijasikia mlipounganisha au kufuta kina Sido,Temdo,Tirdo,TanTrade,Mbrela na mizigo mingine kama hiyo..

Hayo 20 yawe ya kuanzia tuu ,Kuna mengi ya kufutwa na kuunganishwa maana yamekuwa mzigo sana Kwa walipakodi na hayana Tija

View: https://www.instagram.com/p/C03jpkot2uD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Baada ya kufuta Taasisiya Chakula na Lishe, je majukumu yake yatafanywa na nani? labda sijasoma vizuri
 
Hongera Shujaa Magufuli ulianza kwa kuunganisha Mifuko ya Jamii
Mifuko ya Jamii siyo kazi ya Magufuli bali ilikamilka kuunganishwa wakati wa Magufuli. Hayo yalikuwa ni matakwa na shinikizo la TUCTA kwenye mikutano ya 2013-15 kutaka mafao ya mashirika ya social security yapunguze matumizi ili kuboresha mafao ya wateja wao. Moja ya eneo ambalo TUCTA waliliona ni gharama za marketing/ awareness ambao mashirika yalikuwa yanashindana kugombea wateja. Ndio wakashauri yawe mashirika mawili tu; PSSSF kwa wafanyakazi wa sekta ya umma na NSSF kwa sekta binafsi
 
Hongera Serikali Kwa kupunguza mzigo wa misumari Kwa walipakodi.

Hata hivyo Bado Kuna Utitiri wa mashirika, taasisi na wakala ambazo hazina maana zaidi ya kuleta usumbufu.

Mfano sijasikia mlipounganisha au kufuta kina Sido,Temdo,Tirdo,TanTrade,Mbrela na mizigo mingine kama hiyo..

Hayo 20 yawe ya kuanzia tuu ,Kuna mengi ya kufutwa na kuunganishwa maana yamekuwa mzigo sana Kwa walipakodi na hayana Tija

View: https://www.instagram.com/p/C03jpkot2uD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Waunganishe TAWA, TANAPA na TFS iwe Shirika la Uhifadhi la Taifa; Tanzania Conservation Authority I e TCA...Itaondoa management costs na kusaidia ku define uhifadhi vizuri pasipo kuleta mikanganyiko. Itapunguza pia conflicts na raia
 
Universities pia waondoe hizi campuses ambazo ni mizigo, zigeuzwe kuwa production centres ambazo zitakuwa ndiyo living labs Kwa wanafunzi wa hizo universities wakiziunganisha na communities programs through local governments Ili zishiriki kwenye productions badala ya kuwa serviced na budgets za Wizara...
 
Boards za mazao zifutwe na kisha through PPP hizo productions zote za crops ziwe under private sector, kisha hizo private firms ndizo ziunde boards zake kupitia wawekezaji.

Sheria ilinde wawekezaji wa ndani nakutengeneza njia Bora ya kufacilitate mitaji, ardhi ya vijiji ibakie Mali ya vijiji na ilindwe kisheria vijiji visiruhusiwe ku lease lands zao; Bali wawekezaji hao wa rent land Kwa contracts na vijiji. Sheria ilazimishe locals ndiyo waajiriwe na kuongeza taxes kwenye machines ili kulazimisha labour intensive approach kuajiri Vijana wengi kufanya hizo kazi Kwa human labour wakitumia simple machines...Iwekwe time frame ambapo baadaye zitapunguzwa Kodi as more people wanpoingia katika forma employments na hatimaye huko mbele kuachia market iamue
 
Back
Top Bottom