Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
AMBAZO SIKUHIZI ZINAPOKEA AMRI KUTOKA MISUNGWI KM SIKOSEISerikali haifungi mtu bali mahakama
AMBAZO SIKUHIZI ZINAPOKEA AMRI KUTOKA MISUNGWI KM SIKOSEISerikali haifungi mtu bali mahakama
HUYU NI CCM DAMU KULIKO WEWE UNAYEROPOKA HAPA.........TATIZO HAMTAKI KUAMBIWA UKWELIWewe sio ccm ndio maana unadhani huyo mkora amepata heshima kwa kwenda jela. Kazi za heshima zinataka watu wanaojiheshimu. Watu wajue mtu mkora hafai kua mbunge. Ni watu wachache sana tu wanaona sawa kumtukana na kumkejeli rais wa jamhuri. Wala Sugu hajafungwa na serikali wala ccm. Amefungwa na sheria.
Anamaanisha hata akina Lusinde wafungwe sio Sugu tusasa sijui hizi sheria zitakuwa na maana yeyote kama zitakua zinachagua..
Katiba yenyewe Inasema utekelezaji wa sheria usibague..
sasa sijui hapo mleta mada unatuambia nini??
Huyo sugu wenu hana lolote zaidi ya bangi anazovuta.
naniliu mwenyewe nadhani anapiga bange na ugoro dishi limeyumbaHuyo sugu wenu hana lolote zaidi ya bangi anazovuta.
Siku hz Sugu hana ushabiki kama miaka ya nyuma. Hata ubunge hatapata kwa taarifa yakopale Mbeya Sugu hang'oki hata kwa scud.
vijana wa Mbeya (60% ya voters) huwaambii chochote kuhusu Sugu rais wao.
plus the fact that they abhor CCM with unspeakable passion!!
na hivi prof Mwandosya anaonekana kum support ndiyo kabisaa.
Unajuwa ni kwa nini Magufuli kageuzia Iringa kwenye ziara yake?Siku hz Sugu hana ushabiki kama miaka ya nyuma. Hata ubunge hatapata kwa taarifa yako
Ratiba ya ziara imeisha wiki sasa, Sugu katoka jana ,sasa tupe ni kipi kilimzuia kwenda Mbeya.Unajuwa ni kwa nini Magufuli kageuzia Iringa kwenye ziara yake?
Ratiba ilikuwa aende Mbeya, Ruvuma na Mtwara na Lindi.
Kaeni mnajidanganya tu.
Tatizo mumezoea kusema uongo hadi mnaamini ndio kweliHUYU NI CCM DAMU KULIKO WEWE UNAYEROPOKA HAPA.........TATIZO HAMTAKI KUAMBIWA UKWELI
Angalia kamusi weweee ujue mkora ni naniWw ni mkenya nn? Mkora ndo KTU gan maana wakenya ndo wanaongeaga kiswahil cha ajabu ajabu wakija tz wakijidai wanajua siasa za tz na kuacha za kwao?
Mkuu sisi wengine ni CCM damu damu, na si CCM maslahi kama ninyi.Tatizo mumezoea kusema uongo hadi mnaamini ndio kweli
Isijetokea tu kuwa 2020 Sugu sio mgombea.pale Mbeya Sugu hang'oki hata kwa scud.
vijana wa Mbeya (60% ya voters) huwaambii chochote kuhusu Sugu rais wao.
plus the fact that they abhor CCM with unspeakable passion!!
na hivi prof Mwandosya anaonekana kum support ndiyo kabisaa.
Mnataka kutimiza ile azma yenu ya kum-pyu pyu?Isijetokea tu kuwa 2020 Sugu sio mgombea.
Kwenye siasa kuna mengi.
Acha upuuzi.Mnataka kutimiza ile azma yenu ya kum-pyu pyu?
Wewe ndiyo mpuuzi tena wa kiwango cha PhD, punga mkubwa.Acha upuuzi.
Ulimwona Dr. Mollel pale Siha?
Jamaa alikuwa na sapoti kubwa sana ya Chadema pale.
Ila "akaunga mkono" juhudi za JPM.
Sasa kashinda tena na ndo jimbo pekee sijasikia chadema wanalilia kuibiwa kura.