Serikali kumfunga Sugu was a political mistake!

Maelekezo toka juu yanaanza kuitafuna CCM mdogo mdogo.
MACHIZI.jpg
 
Simama kwenye facts usipotoshe umma.
Wacha siasa iitwe siasa kama sheria ilivyo sheria.
Hekima uvumilivu na busara ni muhimu katika kuzitumia sheria kisiasa, na ndio maudhui ya mada hii.
Chiluba alimfunga mzee Kaunda, leo tunajua kilichotokea.
 
Sheiza,
Hebu sema kidogo tu unachokijua. Huyu bwana (Joseph Mbilinyi a. k. a Sugu) alivunja sheria gani kweli?

Inawezekana na najua utasema alitukana na tena siyo kutukana tu bali alimtukana Rais wenu, Pombe.... !

Well. Ukijibu hivyo, hebu weka na tusi/matusi aliyotukanwa huyu "Mtakatifu" bandia
Sugu alivunja sheria inayoitwa " insulting language c/s 89 (1) of the Penal Code" . Nchi hii inaendeshwa kwa sheria siyo kwa mihemko na mahaba. Mtu akivunja sheria hata awe nani au anapendwa kiasi gani sheria lazima ichukue mkondo wake. Kutokujua kwenu Sheria kusiwafanye mhalalishe makosa yanayofanywa na viongozi wenu.
 
mshaanza kukimbia sanamu mlilotengeneza kisa limetabasamu na wakati mlivyokua mkilitengeneza lilikua limenuna kazi kweli CCM
 
Sugu alivunja sheria inayoitwa " insulting language c/s 89 (1) of the Penal Code" . Nchi hii inaendeshwa kwa sheria siyo kwa mihemko na mahaba. Mtu akivunja sheria hata awe nani au anapendwa kiasi gani sheria lazima ichukue mkondo wake. Kutokujua kwenu Sheria kusiwafanye mhalalishe makosa yanayofanywa na viongozi wenu.
Inaendeshwa na sheria zilizo kwenye kichwa cha mgonjwa
 
Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Tukumbushe Lema alifungwa kifungo kipi?
 
Inaendeshwa na sheria zilizo kwenye kichwa cha mgonjwa
Sheria zinatungwa na bunge, kutafsiriwa na Mahakama na kusimamiwa na vyombo vya dola kwa maana ya Utekelezaji wake. Hakuna mtu mwingine yoyote nje ya vyombo hivyo mwenye wajibu wa kutekeleza majukumu hayo. Sasa huo ugonjwa inawezekana upo kwa nyinyi msiojua kutafsiri sheria. Kejeli hazisaidii kupindisha ukweli.
 
Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.

Kwa kusema ukweli, kumfunga Sugu imemuongezea sana umaarufu.
Mbaya zaidi kitendo hicho hakijaiongezea CCM umaarufu kanda hii.

Sipendi viongozi wakitukanana hadharani, lakini thats part of politics, ila hi drastic action sana sana Sugu amejijengea public sympathy na mwishowe yeye ndo anaonekana kaonewa kisiasa.
Hiyo public sympathy inageuzwa kuwa political strength.

Tujifunze.
Na wewe fanya makosa ufungwe ili uwe maarufu kama kufungwa magarezani ni kuongezewa umaarufu
 
Sugu alivunja sheria inayoitwa " insulting language c/s 89 (1) of the Penal Code" . Nchi hii inaendeshwa kwa sheria siyo kwa mihemko na mahaba. Mtu akivunja sheria hata awe nani au anapendwa kiasi gani sheria lazima ichukue mkondo wake. Kutokujua kwenu Sheria kusiwafanye mhalalishe makosa yanayofanywa na viongozi wenu.
Na 1.5 Trillion zinapoyeyuka sheria inasemaje?
 
Sugu alivunja sheria inayoitwa " insulting language c/s 89 (1) of the Penal Code" . Nchi hii inaendeshwa kwa sheria siyo kwa mihemko na mahaba. Mtu akivunja sheria hata awe nani au anapendwa kiasi gani sheria lazima ichukue mkondo wake. Kutokujua kwenu Sheria kusiwafanye mhalalishe makosa yanayofanywa na viongozi wenu.
Ninachokiona Mimi ni kwamba anapokuwa anaongea Kiongozi yeyote wa upinzani, kuna watu wanakuwa wanafuatilia ili wapate tu neno lolote ambalo linaweza kumtia hatiani.
 
Wewe sio ccm ndio maana unadhani huyo mkora amepata heshima kwa kwenda jela. Kazi za heshima zinataka watu wanaojiheshimu. Watu wajue mtu mkora hafai kua mbunge. Ni watu wachache sana tu wanaona sawa kumtukana na kumkejeli rais wa jamhuri. Wala Sugu hajafungwa na serikali wala ccm. Amefungwa na sheria.
Ww ni mkenya nn? Mkora ndo KTU gan maana wakenya ndo wanaongeaga kiswahil cha ajabu ajabu wakija tz wakijidai wanajua siasa za tz na kuacha za kwao?
 
Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.

Kwa kusema ukweli, kumfunga Sugu imemuongezea sana umaarufu.
Mbaya zaidi kitendo hicho hakijaiongezea CCM umaarufu kanda hii.

Sipendi viongozi wakitukanana hadharani, lakini thats part of politics, ila hi drastic action sana sana Sugu amejijengea public sympathy na mwishowe yeye ndo anaonekana kaonewa kisiasa.
Hiyo public sympathy inageuzwa kuwa political strength.

Tujifunze.
Ukisoma siasa ndo utaelewa
Umesema wamefanya political mistake, upo sahihi ila unapaswa ujue ndan ya political mistake kuna political strategy, ambapo unaweza kudhani umepata kumbe umepatwa,

Siasa ni taaluma kama zilivyotaaluma zingine mkuu..
 
Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Mkuu Lema alifungwa kifungo cha muda gani?
 
Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.

Kwa kusema ukweli, kumfunga Sugu imemuongezea sana umaarufu.
Mbaya zaidi kitendo hicho hakijaiongezea CCM umaarufu kanda hii.

Sipendi viongozi wakitukanana hadharani, lakini thats part of politics, ila hi drastic action sana sana Sugu amejijengea public sympathy na mwishowe yeye ndo anaonekana kaonewa kisiasa.
Hiyo public sympathy inageuzwa kuwa political strength.

Tujifunze.
Mwambie atukane tena ili tumuongezee umaarufu
 
Back
Top Bottom