Serikali kumfunga Sugu was a political mistake!

Serikali kumfunga Sugu was a political mistake!

Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Waliomtukana Yesu walifanywa nini?
 
Sheria zinatungwa na bunge, kutafsiriwa na Mahakama na kusimamiwa na vyombo vya dola kwa maana ya Utekelezaji wake. Hakuna mtu mwingine yoyote nje ya vyombo hivyo mwenye wajibu wa kutekeleza majukumu hayo. Sasa huo ugonjwa inawezekana upo kwa nyinyi msiojua kutafsiri sheria. Kejeli hazisaidii kupindisha ukweli.
Huo ugonjwa anao Magu. Bunge, Mahakama na vyombo vingine vya dola vinaamriwa toka kwa mgonjwa Magu. Usifiche kichwa kama mbuni wakati kiwiliwili chote kipo wazi.
 
Kwanza kabjsa serikali haijamfunga Sugu bali alifungwa kwa kufanya makosa ambayo ni kinyume na sheria za nchi hii. Pili utambue kuanzia leo kuwa Sugu hana meno katika nchi hii. Ni mtu wa kawaida sana msimpe kichwa. Hana madhara na wala hatakuwa nayo milele.
 
Ukisoma siasa ndo utaelewa
Umesema wamefanya political mistake, upo sahihi ila unapaswa ujue ndan ya political mistake kuna political strategy, ambapo unaweza kudhani umepata kumbe umepatwa,

Siasa ni taaluma kama zilivyotaaluma zingine mkuu..
Kuna member huko nyuma kasema siasa ni kama mchezo wa chess.
Unapanga mchezo hatua mbili au tatu mbele.
Ukila kete uwe mwangalifu maana waweza kumpa mshindani wako mtaji ajipatie kingi.
Mchezo huu wa Sugu vivyo.
Kinacho nisikitisha ni kumpa umaarufu zaidi hivyo kuifanya kazi ya CCM kuwa ngumu kumuondoa pale Mbeya Mjini.
 
Mkuu ndyo siasa, tunza hii post yako utanipa mrejesho kati ya tarehe 25-30/10/2020...

Hapo ndipo utajua huo umaalufu upo au haupo, mkuu siasa ni zaidi ya uijuavyo....

Ni kama mchezo wa drafti kwel, ila ukiwa na king unakula zote mkuu..
 
Pole sana, hivi unajua kazi iliyofanywa na akina mwandosya na wazee wengine kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa chadema kutuliza like joto? Muulize mkuu wako wa mkoa wa mbeya
Pyuuuu... Mkuu acha kudanganya umma, hakuna lolote lingeweza kutoa hapo Mbeya!

Chadema ya Mbeya naifananisha na ile ya Arusha maneno mengi vitendo zero.
 
Sheiza,
Hebu sema kidogo tu unachokijua. Huyu bwana (Joseph Mbilinyi a. k. a Sugu) alivunja sheria gani kweli?

Inawezekana na najua utasema alitukana na tena siyo kutukana tu bali alimtukana Rais wenu, Pombe.... !

Well. Ukijibu hivyo, hebu weka na tusi/matusi aliyotukanwa huyu "Mtakatifu" bandia
Mhe Joseph Mbilinyi SUGU alisema ” Mhe Rais Magufuli hawezi kupendwa na watu kwa kumshoot risasi Lissu, kumtupa Jela miezi minne Lema, kumteka Ben saanane, kumteka Roma na kumzuia SUGU asiongee..!!”..
 
Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Yaani mtu agombane na mke/mme halafu hasira zake azimalizie jukwaani kwa kumtukana rais!!.

Huo upuuzi umeshapitwa na wakati, lazima iwe ni nchi yenye nidhamu.
 
Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Mhe Joseph Mbilinyi SUGU alisema ” Mhe Rais Magufuli hawezi kupendwa na watu kwa kumshoot risasi Lissu, kumtupa Jela miezi minne Lema, kumteka Ben saanane, kumteka Roma na kumzuia SUGU asiongee..!!”..katukana wapi wewe zwazwa..lijitu linauwa watu linachekewa hatuko Burundi au Rwanda ..na ilitakiwa nyie CCM ndio mumpinge ..majitu ya hivi ni makatili alitaka kumuuwa Nape hadharani..akitumaliza sisi atageukia kwenu-Tundu Lissu(akili kubwa)
 
uvumilivu wa kisiasa ni wa muhimu sana vinginevyo mbona wanasiasa wengi wa upinzani wataumizwa sana, nadhani hili la sugu kama lilivyokuwa kwa Mh lema linapaswa kuwa fundisho kwa wakubwa
 
Mkuu ndyo siasa, tunza hii post yako utanipa mrejesho kati ya tarehe 25-30/10/2020...

Hapo ndipo utajua huo umaalufu upo au haupo, mkuu siasa ni zaidi ya uijuavyo....

Ni kama mchezo wa drafti kwel, ila ukiwa na king unakula zote mkuu..
Mkuu you are being too simplistic.
Tazama uwanja wa siasa mkoani Mbeya.
CCM taifa kwa muda mrefu umeinyanyapaa mkoa kisiasa na serikali kimaendeleo.
Sasa ujiulize CCM mtaji wake Mbeya ni nini hasa, almost hakuna na CCM Taifa haijali suala hili.
Ukiniambia vijana wadogo wataichagua CCM , 2020, nitakuuliza kwa kitu gani ilichowafanyia!
Kaja Polepole Mbeya ,alichoweza kufanya ni matusi ya kisiasa, ati CCM Mbeya ina ukabila!

Kitendo cha kumsweka ndani Sugu haikisaidii sana CCM zaidi ya kumwongezea umaarufu hawa vijana wasio na kazi Mbeya mjini.
 
Huo ugonjwa anao Magu. Bunge, Mahakama na vyombo vingine vya dola vinaamriwa toka kwa mgonjwa Magu. Usifiche kichwa kama mbuni wakati kiwiliwili chote kipo wazi.
Ushahidi wa Sugu kutukana uliwasilishwa mahakamani, akapewa nafasi ya kujitetea pamoja na kuleta mashahidi. Lakini Mahakama kutokana na ushahidi uliokuepo ilimkuta na hatia kwa mujibu wa kifungu cha 89 (1) of the Penal Code. Ndo maana akafungwa.

Sasa nawwe tupe ushahidi wa hiyo amri iliyotoka juu kwa magu ya kumfunga Sugu. Akili za kuambiwa changanya na zako. Bendera fuata upepo wwe.
 
Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.

Kwa kusema ukweli, kumfunga Sugu imemuongezea sana umaarufu.
Mbaya zaidi kitendo hicho hakijaiongezea CCM umaarufu kanda hii.

Sipendi viongozi wakitukanana hadharani, lakini thats part of politics, ila hi drastic action sana sana Sugu amejijengea public sympathy na mwishowe yeye ndo anaonekana kaonewa kisiasa.
Hiyo public sympathy inageuzwa kuwa political strength.

Tujifunze.
You are wrong the best words should have been political miscalculations
 
Mtu pekee anayekwenda mbeya sasa hivi ni yule mama wa bungeni.
Na maendeleo wanaendelea kuyafanya.
Naye anaenda kule kisa analitaka jimbo lile.
Ila bado hajajielewa anataka jimbo gani.
Maana moyo wake kama unataka kwao ila kuna wanamlazimisha agombee mjini.

Pale mjini bahati mbaya hajawahi hata kuishi lakini ndio amri kutoka kwa juu imeagiza.
Namuonea huruma kila mara analipa watu hela washiriki tamasha lake aafu mwisho anadai watu wamechangia.
 
Lawama zote hizi ni lodilofa ndio katuletea MTU mwenye visasi na kuja kutuvurugia siasa zetu.
Watu wanafikia hatua ya kuua ili tu jimbo liwe wazi wagombee.

Na 2020 watu watapata shida sana.
Maana amri itapelekwa kwa wakurugenzi kutotangaza wapinzani walioshinda majimbo yote.
Na ndio watu wataonesha hasira zao kwa wakati huo.
Wasiunderestimate ukimya uliopo wakidhani watu wanafurahia.
 
Back
Top Bottom