Sheria ipiLema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Sheria ipiLema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Nashukuru umeleta hii debate, pesonally he was out of order, mkizani/mpinzani huwezi fanya hivyo....Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.
Kwa kusema ukweli, kumfunga Sugu imemuongezea sana umaarufu.
Mbaya zaidi kitendo hicho hakijaiongezea CCM umaarufu kanda hii.
Sipendi viongozi wakitukanana hadharani, lakini thats part of politics, ila hi drastic action sana sana Sugu amejijengea public sympathy na mwishowe yeye ndo anaonekana kaonewa kisiasa.
Hiyo public sympathy inageuzwa kuwa political strength.
Tujifunze.
Hakuna sheria iliyovunjwa pale. Ni upuuzi mtupu. Mtu yeyote mwenye akili timamu na anayejua maana ya kuwa kiongozi hawezi kupoteza muda wake kwa mambo madogo kama hayo yaliyomfunga Sugu.Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Mkuu una mentality ya "regime change" kama ile ya Trump kwa Iran.Acha upuuzi.
Ulimwona Dr. Mollel pale Siha?
Jamaa alikuwa na sapoti kubwa sana ya Chadema pale.
Ila "akaunga mkono" juhudi za JPM.
Sasa kashinda tena na ndo jimbo pekee sijasikia chadema wanalilia kuibiwa kura.
Kumbe hua unaona ukweli halisi ila hua unajichetua tu akili ...Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.