chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Afungwe na Mkapa aliewaita watanzania wapuumbavu,..Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji