Serikali Kuja na Mpango wa Kulipa Posho Wazee

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428

SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.

Naibu Waziri Katambi ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2025, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Christina Mnzava aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali kuja na sera ya kuwapatia posho wazee wote nchini kama inavyofanyika Visiwani Zanzibar.

"Ni kweli kwa upande wa Tanzania Visiwani wameanza utaratibu huo (wa kuwalipa posho wazee) na sera hii ya mwaka 2003 moja ya maeneo ambayo yamewekewa mkazo ni pamoja na hili la kuangalia hali za kiuchumi na kuwanusuru wazee katika lindi la umasikini na changamoto za kiuchumi...Kwa hiyo tutaendelea kulifanyia kazi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu na wizara husika kuona kama hali itaruhusu hilo litatekelezwa". amesema Naibu Waziri Katambi
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2025-04-29 at 15.37.07.mp4
    4 MB

Hadaa za kizamani kuelekea uchaguzi.
 
Bima zimewashinda wanadanganya watalipa posho.
 
Waache hadaa na ulaghai! Mwaka jana mwishoni Waziri Kikwete alitangaza ongezeko la pension kwa wale wazee wanaolipwa laki na Hazina moja kwa moja. Ambao walistaafu kabla ya mifuko ya jamii kuanza. Na aliomba radhi sana kuwa kwa sasa hali sio nzuri watawaongezea 50,000/ pekee na wakati wa Budget Mwigulu akaahidi wataanza kuwalipa hiyo 150,000/ January 2025.
Leo ni April 2025, serikali imeshindwa kuwalipa hao wazee wote, maana wanaolipwa hiyo 150,000/ ni baadhi sio wote na hakuna anaye hangaika kufuatilia bila kujua sisi tunafuatilia hawa wazee wetu wanahudumiwaje. Wengine walikuwa madaktari, wauguzi, wanajeshi,waalimu nk. Lakini mwigulu Nchemba na timu yake pale Hazina wako makini kukumbuka "goli" la mama lilipwe kwa wakati ila waliopigana Kagera watajijua!
 
Ccm hii itoe hela kuwalipa wazee😂😂😂 lbd kuwapa khanga na kofia za mitano tena ndicho wanachojua
 
Waache hadaa na ulaghai! Mwaka jana mwishoni Waziri Kikwete alitangaza ongezeko la pension kwa wale wazee wanaolipwa laki na Hazina moja kwa moja. Ambao walistaafu kabla ya mifuko ya jamii kuanza. Na aliomba radhi sana kuwa kwa sasa hali sio nzuri watawaongezea 50,000/ pekee na wakati wa Budget Mwigulu akaahidi wataanza kuwalipa hiyo 150,000/ January 2025.
Leo ni April 2025, serikali imeshindwa kuwalipa hao wazee wote, maana wanaolipwa hiyo 150,000/ ni baadhi sio wote na hakuna anaye hangaika kufuatilia bila kujua sisi tunafuatilia hawa wazee wetu wanahudumiwaje. Wengine walikuwa madaktari, wauguzi, wanajeshi,waalimu nk. Lakini mwigulu Nchemba na timu yake pale Hazina wako makini kukumbuka "goli" la mama lilipwe kwa wakati ila waliopigana Kagera watajijua!
inasikitisha sana
 
SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.

Naibu Waziri Katambi ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2025, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Christina Mnzava aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali kuja na sera ya kuwapatia posho wazee wote nchini kama inavyofanyika Visiwani Zanzibar.

"Ni kweli kwa upande wa Tanzania Visiwani wameanza utaratibu huo (wa kuwalipa posho wazee) na sera hii ya mwaka 2003 moja ya maeneo ambayo yamewekewa mkazo ni pamoja na hili la kuangalia hali za kiuchumi na kuwanusuru wazee katika lindi la umasikini na changamoto za kiuchumi...Kwa hiyo tutaendelea kulifanyia kazi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu na wizara husika kuona kama hali itaruhusu hilo litatekelezwa". amesema Naibu Waziri Katambi
Wakiana kulipwa nitasema neno,ila kwa sasa najua ni msimu wa uchaguzi au?
 
Masindo'abhaninabho hawana uwezo huo! Watakuwa wanatafuta huruma ya kura za wazee! Yaani mkanipangishe foleni kusubiria elfu 15 kwa mwezi?
 
SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.

Naibu Waziri Katambi ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2025, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Christina Mnzava aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali kuja na sera ya kuwapatia posho wazee wote nchini kama inavyofanyika Visiwani Zanzibar.

"Ni kweli kwa upande wa Tanzania Visiwani wameanza utaratibu huo (wa kuwalipa posho wazee) na sera hii ya mwaka 2003 moja ya maeneo ambayo yamewekewa mkazo ni pamoja na hili la kuangalia hali za kiuchumi na kuwanusuru wazee katika lindi la umasikini na changamoto za kiuchumi...Kwa hiyo tutaendelea kulifanyia kazi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu na wizara husika kuona kama hali itaruhusu hilo litatekelezwa". amesema Naibu Waziri Katambi
Hizo pesa watazitoa wapi?

Amandla...
 
Ubaijua tasaf?
Hapo majamaa yana tengeneza loophole ya kupiga pesa mmmmaaaaeee
 
Back
Top Bottom