Serikali Kuja na Mpango wa Kulipa Posho Wazee

SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.

Naibu Waziri Katambi ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2025, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Christina Mnzava aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali kuja na sera ya kuwapatia posho wazee wote nchini kama inavyofanyika Visiwani Zanzibar.

"Ni kweli kwa upande wa Tanzania Visiwani wameanza utaratibu huo (wa kuwalipa posho wazee) na sera hii ya mwaka 2003 moja ya maeneo ambayo yamewekewa mkazo ni pamoja na hili la kuangalia hali za kiuchumi na kuwanusuru wazee katika lindi la umasikini na changamoto za kiuchumi...Kwa hiyo tutaendelea kulifanyia kazi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu na wizara husika kuona kama hali itaruhusu hilo litatekelezwa". amesema Naibu Waziri Katambi
Mwaka wa uchaguzi huu tutasikia mengi

Lini wataanza kuwalipa wasio na ajira?
 
Mbwembwe tu za uchaguzi, wameshindwa kusimamia matubabu ya wazee,,wanateseka mahospitalini ni miaka sasa
 
SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.

Naibu Waziri Katambi ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2025, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Christina Mnzava aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali kuja na sera ya kuwapatia posho wazee wote nchini kama inavyofanyika Visiwani Zanzibar.

"Ni kweli kwa upande wa Tanzania Visiwani wameanza utaratibu huo (wa kuwalipa posho wazee) na sera hii ya mwaka 2003 moja ya maeneo ambayo yamewekewa mkazo ni pamoja na hili la kuangalia hali za kiuchumi na kuwanusuru wazee katika lindi la umasikini na changamoto za kiuchumi...Kwa hiyo tutaendelea kulifanyia kazi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu na wizara husika kuona kama hali itaruhusu hilo litatekelezwa". amesema Naibu Waziri Katambi
Jamani tusitake kudanganyana kwa mambo ambayo yanagusa jamii. Sera ya mwaka 2003 sasa ina miaka 22. Siku zote tunaambiwa Sera hii inafanyiwa kazi, jibu ambalo halina maana yeyote zaidi ya kufanyiwa kazi, basi. Sera bila Sheria ni kama hadithi tu kwani haitekelezeki. Fikiria wazee toka enzi hizo hakuna Sheria ambayo inatulinda katika kadhia tunazozipata. Wengi wetu wameshaondoka na maumivu kwa kukosekana utaratibu wa kuwapatia hata fedha kidogo ya kujikimu. Mungu anawaona miaka yote hii 23 mkitoa ahadi hewa.
Sera pia inazungumzia kutoa matibabu bure kwa wazee walio na umri zaidi ya Miaka 60. Ukienda Hospitali zetu lipo dirisha la Wazee. Ukichungulia ndani utakuta dawati tupu sana sana kama yupo Daktari utapewa matibabu lakini utaambiwa ukajinunulie dawa au upate ile bima ya 10,000 ambayo si chochote si lolote. Najisikia kama nataka kulia vile......
 
"Kama hali ya uchumi itaruhusu!" Matamshi haya ni ya aibu sana.Wizi na ufisadi Hali ya uchumi inaruhusu,lakini kuwahudunia wazee,watoto na akina mama wajawazito hali ya uchumi hairuhusu.
 
SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.

Naibu Waziri Katambi ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 29, 2025, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Christina Mnzava aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali kuja na sera ya kuwapatia posho wazee wote nchini kama inavyofanyika Visiwani Zanzibar.

"Ni kweli kwa upande wa Tanzania Visiwani wameanza utaratibu huo (wa kuwalipa posho wazee) na sera hii ya mwaka 2003 moja ya maeneo ambayo yamewekewa mkazo ni pamoja na hili la kuangalia hali za kiuchumi na kuwanusuru wazee katika lindi la umasikini na changamoto za kiuchumi...Kwa hiyo tutaendelea kulifanyia kazi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu na wizara husika kuona kama hali itaruhusu hilo litatekelezwa". amesema Naibu Waziri Katambi
uchaguzi umekaribia
 
Kumnyonga Lissu ni shambulio dhidi ya Ukristu
 
Tuanze Sasa sio baadae!
 
Jamani tusitake kudanganyana kwa mambo ambayo yanagusa jamii. Sera ya mwaka 2003 sasa ina miaka 22. Siku zote tunaambiwa Sera hii inafanyiwa kazi, jibu ambalo halina maana yeyote zaidi ya kufanyiwa kazi, basi. Sera bila Sheria ni kama hadithi tu kwani haitekelezeki. Fikiria wazee toka enzi hizo hakuna Sheria ambayo inatulinda katika kadhia tunazozipata. Wengi wetu wameshaondoka na maumivu kwa kukosekana utaratibu wa kuwapatia hata fedha kidogo ya kujikimu. Mungu anawaona miaka yote hii 23 mkitoa ahadi hewa.
Sera pia inazungumzia kutoa matibabu bure kwa wazee walio na umri zaidi ya Miaka 60. Ukienda Hospitali zetu lipo dirisha la Wazee. Ukichungulia ndani utakuta dawati tupu sana sana kama yupo Daktari utapewa matibabu lakini utaambiwa ukajinunulie dawa au upate ile bima ya 10,000 ambayo si chochote si lolote. Najisikia kama nataka kulia vile......
Inasikitisha sana!
 
Mwaka wa uchaguzi, maneno ya kujipatia kura toka kwa wazee na wazee watarajiwa, kifupi ni ulaghai kama ulaghai mwingine tu
 
1750836247442.jpeg
 
Back
Top Bottom