siibi...Nijaribuni muone kama sinta wapa Mibaraka!Utaiba tu.
Unasema tu.siibi...Nijaribuni muone kama sinta wapa Mibaraka!
Maumivu yatoke wapi tena hao ndo wana roho mbaya kishenzi!! ukipita tu wanakusemaMwananch wa kawaida anaposikia habar kama hii n maumivu kias gani anayapitia
Facilitator.Hapo Makamba anazake kama 10B
JAMANI MBONA NACHOKA MAJI YAPO KWENYE JIKO LA KUNI NA NJAA INAUMA FIGA LATENGUKA NAANZA UPYA INAUMA..
Kwani hamjulikani?Wewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..
Samia ameamua kuwa muwazi na mkweli na inakuwa ni rahisi kuona habari kama hizi awamu yake. JPM hakutaka mabaya yaanikwe kwani hakuwa na nafsi iliyopenda kupingwa.Bombardier ilipokamatwa Canada na Kwenda kulipa kimya kimya umeshasahau ndugu!! Na kuzuia habari isitoke na bunge lisijue!?
Daah! Kuna mtu alisema mtashitakiwa MIGA sasa naona miga ndogo zimeshaanza bado kubwakubwaAlafu hii kulipa CAG ameshauri tulipe haraka sana kuepusha riba zaidi [emoji2960]
hata kama tunasaidiwa kingi lakin sio bure ni mikopo lakini basi hata hichi kidogo tunachokusanya wenyewe angalau basi kitufae kutuletea maendeleo japo kiduchu kuliko kulipa hizo kampuni za kitapeli kisha hizo kampuni nazo wanatoa mgao wa 10% kwa hawa walafi wetu usidhani mikataba mibovu kama hiyo wakubwa wamesaini bure tu wana mgao wao wanapata kwenye malipo yoyote yatakayofanywa ndomana hawaoni tabu kuidhinisha pesa zitokeYaan wabongo bana πππ mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!
Wasituleteee madeni ya michongo hapa wajifanye wameshinda kesi kumbe wanachukua pasent zaoSerikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
π·πππππππ π ππππ! πΌπππ£π ππππππ ππππ’πππππ π ππ ππππππππ π π πππππππ π’π ππΎπ½πΆπ°π π πππππππππ ππ ππππππ’π πππ£ππππππ£π ππ π±ππππ£π π π πππ° ππππππ ππ°π½ππ°π½πΈπ° ππππ πππππππ π πππ π ππΎπ½πΆπ°π πππππππ π ππ π ππππππ£ππ πππππ πππππππ ππππππππ ππ ππππ ππ πππ 2024, πΌπππ πππππππππ’ππ£ππ ππππππ πππ π πππ£ππππππ£π π’π πππππππ£π πππππππ ππππ...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
You don't have to buy my ideology, or anybodies ideology, facts are stubborn things, Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, this is a fact, and better get it in your head!.
Maadam mimi na wewe tunakutania humu, siku wakiamka nistue, meanwhile sisi na CCM yetu, na Mama Samia wetu, acha tuendelee kupiga kazi na kazi iendelee!.
P
SanaaHii nchi itachelewa sana kupata maendeleo ya kweli chini ya utawala wa ccm.