Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Madeni ya walimu kulipwa hayabadili msinamo wa wengi
Kwahiyo walipe wasilipe kura siri zetu
 
Jamani acheni watupe tu maana kama muujiza. Swala la kura tunafahamu wenyewe kura ni siri ya mtu
 
mimi kama mwalimu ninaapa kuwakandamiza CCM kwenye kituo nilichoomba kusimamia ewe mwenyezi mungu nisaidie tumechoka sasa
 
Wasitulipe tu maana tumeshaonwa mabwege kitambo yaani unapotaka kupata chako wewe magufuli kutoka kwangu unanidanganyishia na kunipa haki yangu haipo hiyo umenidanganya vya kutosha wewe ccm kura yangu kwa lowassa aseeh!
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

Angekua mzee wako ni Mwalimu, na umelazwa Muhimbili kwa matibabu ungeelewa nini maana ya hayo malipo.
 
kuwalipa mshahara wa mwezi wa 10 tarehe 15 ni rushwa pia
Kumlipa mtu haki yake ni rushwa? Kwa hiyo hata wafanyakazi wa serikalini wasilipwe mishahara yao sasa hivi itakuwa rushwa?
 
Walipe tu, na kura hawapati, wanadhani ni walimu wa 947. Huku mabadiliko tu.
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

hamtaki walipwe? mnataka kutumia matatizo ya walimu mtaji wenu? nimbaini MBAYA HALISI WA WALIMU SI CCM.
 
PM alisema hadi kufikia agosti deni litakuwa limekwisha hii sasa ni october.
 
kampeni hizooo
Wamechelewa tar 25 0ct tunaanua matanga baada ya mazishi ya hawa fisiem.Kuna halmashauri kama Kisarawe hii imeoza kuliko yoyote duniani.Hatuna namna R.I.P ccm.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lizidi kuhimidiwa Amina.
 
Back
Top Bottom