gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
mtakubaliana na sisi kina gogo la shamba pale tulipowaambia waalimu wa nchi hii wameshajiweka kwamba,wao ni watu wa kutumiwa tu, na ccm kila kunapokuwa na uchaguzi
Siku hizi umekuwa gamba?Mlituchagua wenyewe.... Mlitutaka wenyewe.... Acha waisome nambaeeeeee sisiem mbele kea mbele
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani
Walete mpunga huo na kura zetu hawapati..
Lakini na nyie mkajiongeze.Wengi wenu hamkufanya vizurı mkiwa shule na baadhi wengne mna vyeti feki.System mbovu ya CCM imewabeba,mnachangıa sana kudunisha elimu ya Tanzania kwani wengi (sio wote)hamna uwezo wa kutosha kiakili kuwa walimu.
Subirini uchaguzi ujao,tunalipa kwa makundi kadri ya uchaguzi unavyokuja
Tulisha amua.Wacha watupe haki yetu na uamuzi ni ule ule.
Mkiendelea kusema hivyo tutasitisha malipo, msitutanie. Hatufanyi mambo kwa kubahatisha, ohooooo!!!