Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Akili za kuambiwa changanya na za kwako-By JK.Mmeambiwa mnalipwa changanyeni na za kwenu ili muibadilishe nchi hii.
MabadilikooooohhhhH......................
 
ikiwa kweli serikali itatulipa hayo madai na ccm wakashnda uchaguza ntaamini kua watanzania tusahau kupata serikali inayoweza kuwajibika kwa wananchi bali watu wanaopigania madaraka ulaji wao2
 
kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. Ccm acheni kampeni za kizamani


napenda sana mpango huu wa ccm kulipa madeni kwa haraka kwa sababu
1. Nataka serikali ya chedema isipate taabu kulipa fedha walizo dhurumiwa walimu
2. Ccm wataondoka madarakani kiroho safi bila deni kwa walimu
3.walimu wamesalitiwa na viongoz wao wa juu mwaka huu wameamua moja walipwe wasilipwe mabadiliko ni 22/7 au 3.34
 
Walimu waki fanya mchezo hapa wasishangae kuona baadae michango jna kua mara mbili ya yazamani ndipo watakapo lia na kusaga meno
 
Leteni huo mpunga ,tumeumizwa mangapi,mabadiliko ni muhimu
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

mkuu tayari walimu wa dar na pwani wameishaanza kulipwa na wahasibu wote wameambiwa wasiende likizo hadi uchaguzi utakapopita. hii ni kampeni lakini kwa kuwa ni walimu wanaojitambua sidhani kama watabadilisha msimamo wao wa kutaka MABADILIKO. mwaka huu lazima kieleweke!
 
Aisee mbona mnaongea sana kama vile mna wivu? Kama wewe sio mwalimu kaa kimya maana matatizo yetu hayawahusu. Sisi tunaelewa tunachokifanya, acheni serikalo itulipe madeni yetu.
 
Aisee mbona mnaongea sana kama vile mna wivu? Kama wewe sio mwalimu kaa kimya maana matatizo yetu hayawahusu. Sisi tunaelewa tunachokifanya, acheni serikalo itulipe madeni yetu.

Yaani mwalimu analipwa laki 8 malimbikizo wakati hiyo ni hela ya airtime nayopewa ofisini..mxxxxx
 
Wameanza,kutekeleza,agizo la lowassa serengeti nini
 
mtakubaliana na sisi kina gogo la shamba pale tulipowaambia waalimu wa nchi hii wameshajiweka kwamba,wao ni watu wa kutumiwa tu, na ccm kila kunapokuwa na uchaguzi

Tumetumiwa sana si na mwaka huu.CCM binafsi nimeichoka kuliko maelezo.
 
Back
Top Bottom