Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Hizi ndio rushwa Takukuru walitakiwa kuchunguza.
 
Lowassssa tu hata wafanyee ninnnii.Na siku hiyoo Lowassa atabebwaa mpaka chumba cha kulala Ikulu...Ikulu Ni ya LOWASSA!!!!!Na tutamfunika shukaa jeupee apumzikee BAba yetuuu!!
 
Mm mke wangu ni mwalimu alipandishwa daraja mwaka jana hadi hiv ninavyoandika hajawah kubadilishiwa mshahara na amesema wazi hatachagua CCM kamwe nikasikia eti hata kubadilishiwa mshahara haraka lzm uwe na mtu wa kukufanyia deal CCM kila kitu ni deal tu.
 
n kwel ama,,,kwa maana kwangu bnafsi naidai serkal malmbkzo ya mishahara ya takrban miez 9,,,,nmefuatlia mpaka nkakata tamaa
 
This election is totally different from other elections,by using just simple common sense you can see that most majority of Tanzanians are tired about CCM and its gvt.By using my naked eyes I can see people needs changes as well as chasing away CCM,So their expectations is to see that the election is free and fair with absence of uchakachuaji.
 
Hata wakilipa, wenyewe tumeshafanya maamuzi. Tumechoka kudharauliwa na kudhalilishwa.
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

Ni haki yetu kulipwa lkn kura kwa lowasa.
 
Hii ni habari njema sana. It is never too late to right the wrong. Ni vema pia sasa serikali ikawalipa haki zao wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya afrika mashariki miaka ya 70. Rais Kikwete awatendee haki watu hawa.
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

ulitaka wasilipwe?
 
Mkumbuke we ye kutuzarau waltz wall nyuma ya Magufuri LAzima ccm iondoke
 
Mlituchagua wenyewe.... Mlitutaka wenyewe.... Acha waisome nambaeeeeee sisiem mbele kea mbele
 
Wawapandishe madaraja walimu walioajiriwa 2011.Lakini upepo huu wa Mabadiliko unabeba mpaka sisimizi.Mwanadamu hachagui namna ya kufa,unakufa kwa staili yoyote.Ccm itakufa huku imepiga magoti.
 
Back
Top Bottom