LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,722
- 13,960
Hawa wabunge wa Ccm ni tatizo kwa Taifa. Kila kitu kwao ni ndiooo. Bila kufikiria madhara kwa Taifa. Sheria nyingi zina pitishwa kishabiki na ignorance. Huwa hawangalii athari hadi itokee. Ndipo wanajitokeza kujitambua.Ungeongezea kiganja kuashiria kugonga meza