USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Hii ni kwa nchi nzima na haya ni maagizo ya waziri wa habari na mawasiliano Nape Nauye kwa serkali za mitaa kusimamia zoezi hili .
Wanabodi mm USSR leo asubuhi sana nimepata ugeni wa mtendaji wa kata na mwenyekiti wa mtaa wakiambatana na mjumbe wangu wa shina wakija kuhikiza kikao Cha ghafla Cha wanamtaa kuwa sasa baada ya nyumba zetu kupata namba za post (post cord) Sasa ni zamu ya kuwekewa kibao Cha utambumbuzi wa mtaa husika kwa kununua kwa laki na nusu ambayo itachangwa na kila mwanamtaa .
Kuchanga sio ishu ila Kuna ulazima gani wa SERKAL kutuongezea gharama zisizo na sababu hasa kwa wale wananchi wa kipato Cha chini huko mitaani.
Serkali ya CCM lazima Sasa ijiangalie jinsi gani inaongeza hasira kwa wananchi na huu mfumuko wa bei kali nchini huku michango ya mwenge ikizidi kila siku .
Je, mtaani kwako wamekuja ?