Serikali kila wanamtaa/kijiji kuchanga Tsh. 150,000 kununua kibao cha jina la mtaa/kijiji chao

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,596
Hii ni kwa nchi nzima na haya ni maagizo ya waziri wa habari na mawasiliano Nape Nauye kwa serkali za mitaa kusimamia zoezi hili .

Wanabodi mm USSR leo asubuhi sana nimepata ugeni wa mtendaji wa kata na mwenyekiti wa mtaa wakiambatana na mjumbe wangu wa shina wakija kuhikiza kikao Cha ghafla Cha wanamtaa kuwa sasa baada ya nyumba zetu kupata namba za post (post cord) Sasa ni zamu ya kuwekewa kibao Cha utambumbuzi wa mtaa husika kwa kununua kwa laki na nusu ambayo itachangwa na kila mwanamtaa .

Kuchanga sio ishu ila Kuna ulazima gani wa SERKAL kutuongezea gharama zisizo na sababu hasa kwa wale wananchi wa kipato Cha chini huko mitaani.

Serkali ya CCM lazima Sasa ijiangalie jinsi gani inaongeza hasira kwa wananchi na huu mfumuko wa bei kali nchini huku michango ya mwenge ikizidi kila siku .

Je, mtaani kwako wamekuja ?

Je mtaani kwako wamekuja ?

USSR
Akili za wana CCM ni matope kabisa mnaanzishaje mpango ambao hamna hela za kuukamilisha?

Sitachangia upumbavu huu
 
Hii ni kwa nchi nzima na haya ni maagizo ya waziri wa habari na mawasiliano Nape Nauye kwa serkali za mitaa kusimamia zoezi hili .

Wanabodi mm USSR leo asubuhi sana nimepata ugeni wa mtendaji wa kata na mwenyekiti wa mtaa wakiambatana na mjumbe wangu wa shina wakija kuhikiza kikao Cha ghafla Cha wanamtaa kuwa sasa baada ya nyumba zetu kupata namba za post (post cord) Sasa ni zamu ya kuwekewa kibao Cha utambumbuzi wa mtaa husika kwa kununua kwa laki na nusu ambayo itachangwa na kila mwanamtaa .

Kuchanga sio ishu ila Kuna ulazima gani wa SERKAL kutuongezea gharama zisizo na sababu hasa kwa wale wananchi wa kipato Cha chini huko mitaani.

Serkali ya CCM lazima Sasa ijiangalie jinsi gani inaongeza hasira kwa wananchi na huu mfumuko wa bei kali nchini huku michango ya mwenge ikizidi kila siku .

Je mtaani kwako wamekuja ?

USSR
ngoja tuwasubiri waje.....sasa Nape naye hzo gharama za kuzunguka na chopa sibora wangeziweka kwenye hayo matumizi yao, ccm cjui wakoje 😡😡
 
Hii ni kwa nchi nzima na haya ni maagizo ya waziri wa habari na mawasiliano Nape Nauye kwa serkali za mitaa kusimamia zoezi hili .

Wanabodi mm USSR leo asubuhi sana nimepata ugeni wa mtendaji wa kata na mwenyekiti wa mtaa wakiambatana na mjumbe wangu wa shina wakija kuhikiza kikao Cha ghafla Cha wanamtaa kuwa sasa baada ya nyumba zetu kupata namba za post (post cord) Sasa ni zamu ya kuwekewa kibao Cha utambumbuzi wa mtaa husika kwa kununua kwa laki na nusu ambayo itachangwa na kila mwanamtaa .

Kuchanga sio ishu ila Kuna ulazima gani wa SERKAL kutuongezea gharama zisizo na sababu hasa kwa wale wananchi wa kipato Cha chini huko mitaani.

Serkali ya CCM lazima Sasa ijiangalie jinsi gani inaongeza hasira kwa wananchi na huu mfumuko wa bei kali nchini huku michango ya mwenge ikizidi kila siku .

Je mtaani kwako wamekuja ?

USSR
CCM oyeee!
 
😆😁😄mama Tanzania!
Kwanini pesa za kuzungusha chopa na Nape zisitumike kutengeneza vibao!?
 
Hakika kiongozi huyu hayupo pamoja na wananchi wenye kipato cha chini.
MIMI ni mwananchi mwenye kipato cha juu na sintachangia kumbafu zao kabisa labda namba ya kwenye mlango wangu ndo nitaongea na fundi wangu kufuata vile vipimo vya mm10x4 waliopendekeza. hizo za mitaa bitozo apambane na hali yake
 
😁😅🤣😂😁😃😀Anakwenda Kuchekea Chooni Jamani Ccm Imechoka Sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom