Serikali iwatupie jicho kali BASATA

watu mnamuattack le mutuz bila kujadili mada
Hana hoja hapo yupo ki-strategy flani ivi. Huenda anataka apewa chaka ilo au vp.Pia kuna mambo mengi yapo kwenye mrengo huo lakini ameyakalia kimya, unadhani ni kwanini?
 
AAaaah Le Mutuz...Nakumbuka zamaaani ukiwa na
Audi yako nyeusi mziki mkubwaaa
Wengine walikuwa bado hawajaja mjini....

- Zile enzi za Nguruwe left hand hahahahahaha U know nilikuwaga Baharia Seamen nimerudi fresh!!, inakumbusha Raja Kaka Mungu amrehemu!!

Le Mutuz
 

Ha ha ha ha umeongea vizuri sana..eti Majehu
 
By nguvu


watu mnamuattack le mutuz bila kujadili mada

- hahahaha no umekosea wanaji attack wenyewe maana hawana uwezo wa kushindana hoja na AKILI KUBWA Degree 3 Chezeya wewe unaona ninawapiga kama watoto wadogo no brain!! hahahaha ngoja niwape darasa!!

Le Mutuz
 
- Kipaji cha Sanaa huwezi kulinganisha na kipaji cha siasa ni vitu viwili tofauti, Diamond hana mpinzani Tanzania kuanzia muziki wake mpaka maisha yake sasa unasema siasa inahusika vipi hapo?Le Mutuz
Hiyo sio hoja, anaweza akawa hana mpinzani katika kucheza, mziki etc, lakini asiwe fiti kwenye kuheshimu wapenzi wake.Chukulia kwenye mpira, hata ukiwa mchezaji bora zaidi ya akina mess na Pele,afu wewe kila ukiingia uwanjani unawapiga vidole wenzako, mwisho wa siku utatolewa nje na hata kufungiwa, na huwezi kuwa mchezaji bora wa dunia, licha ya uchezaji wako na ufungaji wako magoli.hivyo kuwa mwanamuziki bora ni FULL PACKAGE. (Afu haya ningekua nakueleza Insta ungesha ni block)
 
Next BASATA watafungia Blog yako...hahahahahaahahah!
 
Nyimbo za Diamondi na Ally Kiba tofauti kabisa, Za diamondi huwa zinawika mie sita zina expire lakini za ally kiba Miaka hadi mitano. hapo kupaishwa kwa Diamondi ni ushindani wa biashara katika kujitangaza, lakini wanaojua maana watasikiliza za Ally k. Le Mutuzi hapo unahorojoka kutetea wasanii ambao kazi zao hazina tija kwa taifa, Hivi uliwahi kusikia mtoto anapokuwa ndogo anapoulizwa ukikua unataka kuwa nani akasema msanii ? wote Uwa wanasema Rubani, Mwalimu, daktari inginia, na Nesi. hapa bado tuko kwenye nchi changa kwanza ELIMU, Pili Kilimo USANII hauna nafasi hapa bali kujilikana kiduchu huku mizinga mingi. Hatuka Zaire hapa kuitwa Nchi ya wasanii. Soma Makala ya Generali Ulimwengu alivyoelelezea Zaire kwa sasa Congo usaniii ulivyowatatiza hadi wakichokozwa kidogo hawajiwezi kijeshi. Usanii peleka Marekani walioshiba fedha wanaangaika na watu wa kuwachekesha wakati wanatumia fedha zao walizochota mataifa ya wasanii.
 

- For sure haya mambo ya sanaa sio yako please tuachie tu tunaoyajua wewe endelea na mambo ya Siasa tu!!

Le Mutuz
 

- Please hahitaji kuwa na heshima na wapenzi wake anahitaji kuwapa wapenzi Sanaa tu, Michael Jackson hakuwa na heshima kabisa na weusi wenziwe lakini hakuna siku walimyima Tuzo, leo Tanzania huwezi kuwa serious na Tuzo za WAsanii wa muziki Diamond akaondoka bila TUZO ni simply foolish!!

Le Mutuz
 
- hahahahaha sina huo uwezo hahaha

Le Mutuz

Le Mutuz acha utani bwana! Yani Gademu le Degree tatu alafu unasema huna uwezo huo!!!??? Basi kama ulikuwa haujui, hiki unachokifanya sasa ni ushawishi kwa wadau!
 
Hapa watakaokuelewa ni wachache sana.!

Shusha vitu mkuu.!
 

Mm naomba kujua tu ww unalipwa kiasi kwa hii nguvu unayotumia mara tu baada ya diamond kushindwa?maana nijuavyo matatizo ya BASATA yalikuwapo wakati wote hata diamond aliposhinda na kama ww unavyodai ni akili kubwa naamini uliyajua but ukaremain silence hadi yalipogusa interest zako ndio umeamua kulishupalia!.hii naona ndio tabia ya kitz kupiga kelele pale tu tatizo linapogusa maslahi yako binafsi.asiye msomi na waodai usomi tabia ni zilezile za kienyeji.KIUSTAHARABU UNATAKIWA UHESHIMU WALIOSHINDA ACHA KUSHUPAA MAANA KUSHUPAA NI TABIA YA MPUMBAVU
 

Kama unashindwa kuona jambo rahisi kama hilo basi wewe ni Bonge la Mshamba. Cjui hizo degree zako 3 zilikuwa za Kuogesha na Kuchamba Wazee huko US?Research gani umeshafanya juu ya hicho unachokilalamikia?Acha kukaa hapo Posta na ku conclude kuwa fulani anaongozwa kwa kupendwa,No Research no Data,No Data no Right to Speak!Bila shaka Shule ulienda kusomea Ujinga,wingi wa degree hau justify reasoning capacity yako.Hakuna Utafiti uliofanya,huna unalojua. Wakati wa mchakato bila shaka you were aware of it, kwa nini usingeshauri kuwa Kura kisiwe Kigezo Pekee?Baada ya tukio unakuja Kuharisha hapa JF,that's so Stupid of You! Haya,naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni na michezo ni MATONYA mwenzio,Kamwambie aifungie BASATA!Pia, kashule kangu nilikoenda kananitosha kabisa kujitambua na kupembua mambo.Afterall, it's a Noble Profession, so sishangai wewe kutonielewa, naweza nikawa naongea vilivyo juu ya reasoning capacity yako.Ila nnalokuomba,waelewe basi hata hawa common men and women waliomo humu,ambao wameonesha High Reasoning Capacity kuliko wewe badala ya kusukuma Ukuta,Huwezi direct maji yapande Mlima,huo ndio Ukweli na Utabaki kuwa Ukweli.Malalamiko yako ni Upuuzi mtupu na bado hata tukijaribu kukupa reality on the ground,unakomaa tu.
 
Le Mutuz acha utani bwana! Yani Gademu le Degree tatu alafu unasema huna uwezo huo!!!??? Basi kama ulikuwa haujui, hiki unachokifanya sasa ni ushawishi kwa wadau!

- Sina uwezo wa kushuka kuwa mjinga kama huyo niliyekuwa ninamjibu hahahahaha U know

Le Mutuz
 

- Duh hahahahahahaha sasa mbona na wewe umeshupaa ina maana ni kama ulivyosema au? hahahahahaha kumbe unalipwa kushupaa hapa? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Kwa hiyo ndiyo umekuja kututangazia kijanja kuwa unampenda huyo mwanaume au?
 

- Nimeshindwa hata kumaliza kusoma maana ni too low thinking capacity pole sana jisome tena uone kama upo sawa kichwani mkuu!!

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…