William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #241
tunaendelea mbele. una maoni ya kuboresha unayatoa. if you think the system is not correct today though yesterday was okey unasema pia. analyse kila kitu, otherwise it will remain as your opinion kama vile opinion yao wao kupeleka vitu walivyopeleka. hiyo ndio argument yangu Boss.
- hahahahaha niamini ujumbe umefika na nimeshapata simu nyingi sana na wahusika so relax hayakuhusu kabisa wanaohusika wamesikia so worry not!! ok hahahahahaha
Le Mutuz
- Mchakato hauwezi kuwa sawa Diamond ameshinda Tuzo 3 za Afrika, amekuwa nimonated BET USA leo akashindwe na Msanii aliyekuwa ameacha kabisa muziki na ambaye amepiga Miziki 2 na hajapata Tuzo yoyote ya Afrika wala kuitwa BET USA unasema unataka Evidence zaidi ya hizo? hahahahahahahaha
Le Mutuz
Naomba kujifunza zaidi juu ya hili jibu lako mkuu. Mimi nadhani "mchakato", kwa muktadha huu, yaani upatikanaji au uteuzi wa washindani katika kipengele vipengele husika ndio (labda) ungeweza kuwa haustahili. Na ikiwa kwa mtazamo wako haukuwa sahihi, bila shaka ulipaswa kukemewa tangu mwanzo.
Na kuhusu "evidence", bila shaka unamaanisha ushahidi. Sasa basi, kwenye uzi wako huu umeleta maelezo kede kede ambayo unabainisha kuwa Diamond anapendwa zaidi na watu. Yawezekana kuna ukweli kwenye hoja yako. Lakini, kwenye shindano hili la TUZO ZA WATU mshindi hupatikana kwa wingi wa kura. Ikiwa Alikiba alipata kura nyingi (kwa maana amekidhi kigezo cha "kura nyingi kuzidi wengine") bado unadhani bado asingestahili kushinda??? Sasa ni vyema basi ukatuletea ushahidi wa kura zilivyopigwa mkuu.
"Who alleges must prove".
kama kawaida yako. Kumbe una access ya kuongea nao direct? kwa nn unakuja kulia lia humu sasa. si ungeenda ukawafundisha tu yakaisha. sawa boss hongera kwa wao kuongea na wewe. So conclusion ni watafuta matokeo au watatoa press release wakiadmit makosa yako???? Au mwakani umehaidiwa kamati ya mchujo?????:msela:
- Honestly unaongea kimtaaani zaidi mimi naongeleea process ni vitu viwili tofauti sana, haya yako ni mawazo ya kimtaani sana sio level ya process na the future of it!!
Le Mutuz
Sawa we endelea kuongelea process, ngoja sisi tusubiri tuzo zetu 7.
- Ok nimeishia hapo kwenye red peke yake sikuweza kuendelea maana unajichanganya sana now make up your mind kuhusu unachotaka kusema na usichotaka kusema niweze kukujibu mkuu inavyotakiwa!!
Le Mutuz
Naomba kujifunza zaidi juu ya hili jibu lako mkuu. Mimi nadhani "mchakato", kwa muktadha huu, yaani upatikanaji au uteuzi wa washindani katika kipengele vipengele husika ndio (labda) ungeweza kuwa haustahili. Na ikiwa kwa mtazamo wako haukuwa sahihi, bila shaka ulipaswa kukemewa tangu mwanzo.
Na kuhusu "evidence", bila shaka unamaanisha ushahidi. Sasa basi, kwenye uzi wako huu umeleta maelezo kede kede ambayo unabainisha kuwa Diamond anapendwa zaidi na watu. Yawezekana kuna ukweli kwenye hoja yako. Lakini, kwenye shindano hili la TUZO ZA WATU mshindi hupatikana kwa wingi wa kura. Ikiwa Alikiba alipata kura nyingi (kwa maana amekidhi kigezo cha "kura nyingi kuzidi wengine") bado unadhani bado asingestahili kushinda??? Sasa ni vyema basi ukatuletea ushahidi wa kura zilivyopigwa mkuu.
"Who alleges must prove".
Kwenye mpira mshindi anajulikana Kwa magoli aijalishi nani kacheza na nani ata taifa ikiweza kuifunga Brazil star ata kuwa mshindi
Kwenye ngumi mshindi anapatikana Kwa point aijalishi nani kaxheza na nani
Kwenye tuzo za watu mshindi alikuwa anapatikana Kwa kula aijalishi nani kafanya mini mwenye kura nyingi ndio mshindi na alikiba akashinda sasa kelele za nini mshindi kapatikana Kwa kura za wananchi mshindi apatikani Kwa kelele za watu pigeni kura mtu wenu ashinde
Wafanye wanachoweza wao na si kuanikwa na kuuzwa miili yao.
- Yale yale lugha tofauti soma tena topic hatupo kwenye yanga na simba hapa tunaongelea process na the future of the process naona upo mtaani kwenye yanga na simba pole sana next time soma mada kwanza,
Le Mutuz
Badala ya kufundisha watu, kusoma kwa bidii waje wawe wabunifu wazalishaji mali, wataalamu mbalimbali wanakaa kupotezea muda watu na urembo, inachosha sana. mrembo,,,mrembo,,,
hii ingefutwa kabisa na isikae ikasikika tena na tena.
Wanawatumia na kuwauza hawa wasichana wasiojijuwa na kujielewa kwa kujineemesha wao binafsi.
Siioni tofauti ya hii biashara na utumwa.
Naomba kujifunza zaidi juu ya hili jibu lako mkuu. Mimi nadhani "mchakato", kwa muktadha huu, yaani upatikanaji au uteuzi wa washindani katika kipengele vipengele husika ndio (labda) ungeweza kuwa haustahili. Na ikiwa kwa mtazamo wako haukuwa sahihi, bila shaka ulipaswa kukemewa tangu mwanzo.
Na kuhusu "evidence", bila shaka unamaanisha ushahidi. Sasa basi, kwenye uzi wako huu umeleta maelezo kede kede ambayo unabainisha kuwa Diamond anapendwa zaidi na watu. Yawezekana kuna ukweli kwenye hoja yako. Lakini, kwenye shindano hili la TUZO ZA WATU mshindi hupatikana kwa wingi wa kura. Ikiwa Alikiba alipata kura nyingi (kwa maana amekidhi kigezo cha "kura nyingi kuzidi wengine") bado unadhani bado asingestahili kushinda??? Sasa ni vyema basi ukatuletea ushahidi wa kura zilivyopigwa mkuu.
"Who alleges must prove".
Mimi nimemsikia juzi kwenye kipindi cha hotmix akihojiwa na mtangazaji mwenyewe akasema sisi hatujapiga marufuku shindano ila tumeipiga marufuku kampuni ya lino, kuandaa!! Mi nipotoshe ili iweje? Ndio ubabaishaji wenyewe huo!!!- Hapana mimi nimeongea naye mwenyewe uso kwa uso sio alichosema na siamini amesema hivyo kwenye RAdio kama ni kweli basi ndio tatizo ninalolisema, hakuna popote Tanzania walipowahi kusema hivyo kwamba wanaifungia Lino, please wacha kupotosha!!
Le Mutuz
Nakubaliana na wewe,kilichotakiwa sio kuyafungia miaka miwili bali kuyafuta kabisa.Ni utumwa mambo leo.
Mnasema mnaukataa utumwa huku mnawauza dada zenu kupitia hayo mashindano, ndiyo mmefanya nini?