wewe Jamii forum siyo blog,Brother tumia akili tatizo ulitaka Diamond ashinde,ndo kashindwa kura zimeamua.Kiba kashinda period,usilazimishe mawazo yako ndo yawe Yes.Tatizo blog yako haikuchaguliwa.Kwanza lazima ujuwe kwamba watu ndo waliochagua.
unataka miss tz ifunguliwe ili uendeleze ukuwadi wako??? utalaumu sana lakini miaka miwili itapita ukiwa alosto mkuu pole....
Alshabaab!/philosophy
wewe Jamii forum siyo blog,Brother tumia akili tatizo ulitaka Diamond ashinde,ndo kashindwa kura zimeamua.Kiba kashinda period,usilazimishe mawazo yako ndo yawe Yes.Tatizo blog yako haikuchaguliwa.Kwanza lazima ujuwe kwamba watu ndo waliochagua.
Ni utumwa mambo leo.
Mnasema mnaukataa utumwa huku mnawauza dada zenu kupitia hayo mashindano, ndiyo mmefanya nini?
Hahahahhaa jamiiforums.blogspot.com
- Kasome tena matangazo ya TUZO ilikuwa ni blog/website pole sana
Le Mutuz
Huwa sisahihishi "typing" error, huwa nasihihisha Kiswahili kinapopotoshwa, hususan kwenye "R" na "L". Lakini nnafurahi ikiwa nimekosea "typing" na mtu akanionesha, huwa nnakwenda kurekebisha.
Siku hizi wewe hukosei kwenye "R" na "L" umefaidika sana na darsa la FaizaFoxy.
Ni utumwa mambo leo.
Mnasema mnaukataa utumwa huku mnawauza dada zenu kupitia hayo mashindano, ndiyo mmefanya nini?
- Haya yote ulkiyoandika hayanihusu hakuna Jumuiya inapeleka majina ya WAgombea ingakuwa kweli Wangepata wengi sana kutoka Jumuiya na hata wewe ungepata, hahahahahahaha eti unasema jina langu ulipeleka wewe na uknaiona ninalia sana hahahahahahahah siku ikitokea nitakuwa nakaribia kufwa eti nalilia ukuu wa wilaya, hapana mkuu inawezekana unajisema mwenyewe, eti unategemea mimi niondoke hapa downtown nikawe mkuu wa Wilaya ya Mkarama? hahahahahaha
Le Mutuz
- I know si nilishawahi kukuuza na wewe ndio maana unajua sana hizo habari hahahahahahahah
Le Mutuz
Watu ndo waliochagua,sasa wewe unabisha nini?usipingane na mawazo ya watu,eti Diamond alijaza watu Mwanza nani kakuambia alijaza peke yake,kulikuwa na wananii wengi kama Yamoto band,Madee,H baba na wenginne kibao leo mnamuona Diamond tu,hapa nakujibu ujinga wako unaoandika kule insta,maana kule mtu akiandika na usivyotaka basi unamblock,hapa nakupa fact tu.Tatizo wivu ndo unakusumbua,kwani Mwanamziki Tanzania ni Diamond tu?Watu wamepiga kura kuwa wanampenda Kiba zaidi ya Diamond wewe unabisha nini?kama vipi anzisha tuzo zako ambazo utakuwa unachagua mwenyewe peke yako- Yalikuwa ni mashindano ya Website/Blog nenda kaangalie hata matangazo yao, hayo mengine ni too low kwangu kujadili na wewe maana huna uwezo mkubwa wa kufikiri na kuona mbele kama wangu ungekuwa ungeona kwamba ninalalamikia process maana ukiruhusiwa mbele ya safari Wasanii watatakiwa kutoa rushwa kushinda kura kama kwenye siasa, uwezo wako ni mdogo sana wa kufikiri hahahaha na huna hoja!!
Le Mutuz
- Kasome tena matangazo ya TUZO ilikuwa ni blog/website pole sana
Le Mutuz