Appollo 11
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 205
- 520
Nawasalimu wana Jamvi.
Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika.
Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja kukipandwa miti minne, na sehem kama Dar es salaam lenye wakazi milioni 6, Jaalia iwe na makazi au viwanja laki 5 na kila mmiliki apande miti minne (japo kuna watakao panda zaid) tutakua tumepanda miti milioni 2. Je tukifanya nchi nzima?
Hii itasaidia sana katika kuregulate hali ya hewa na kupunguza joto pamoja na athari mbaya za kimazingira.
Pili itaamsha ari ya uwajibika na ushiriki wa kila mtanzania katika kutunza mazingira.
NB: Sheria itamke wazi kuwa kutokupambanda miti kuanzia minne katika eneo la makazi au kuwa, ni kosa kisheria.
Naomba kuwasilisha.