Serikali itoe tamko rasmi: Daudi Albert Bashite ni nani?

Were tafuta mada nyingine mambo ya bsshite yashapitwa na wakati,sasa tuko kwenye bajeti,kuona kama ina faa au haifai.
 
Mkuu hatufukui makaburi Hahaha
 
Kwani jina hilo limeletwa na serikali?
 
Ata mm nashangaa kuhusu uyu DAB bt I ril trust dady ngosha that atakua na gud rizonz tu kip Bashite in that position! Ofcoz tunaweza kuongea mengi bt we neva know jmn.....serikalin kuna siri nying[emoji28][emoji28][emoji28]and blv it or not bt tc obviously maadui wa bashite ndo walewale wa mkulu......ngoja nikaoge nilale[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Bashite tunamsubiri baba yako asiyeshindwa kamwe 2020 kabla hajapiga push ups lazima aseme bashite ni nani
 
Aaa wapi nyie kelele tu hapa. Utafikiri mna impact kumbe hakuna lolote. 2020 Magufuli hata asipopiga kampeni ameishashinda kwa 70% hadisasa...
 
Mkuu sasa huo ni uchokozi umesahau Mr. Longolongo alikesha kukagua CV za wateule wake sasa unatafuta nini tena? Na nina wasiwasi na Bashite huenda keshanyofoa cheti cha kuzaliwa kule kwa msajiri wa vizazi na vifo
 
Na hii itasaidiaje Kuwa na Tanzania ya viwanda tena inayojitegemea kiuchumi na kijamii?
 
Aaa wapi nyie kelele tu hapa. Utafikiri mna impact kumbe hakuna lolote. 2020 Magufuli hata asipopiga kampeni ameishashinda kwa 70% hadisasa...
We pepesa domo kama bashite hutaamini hiyo 2020. Kumbuka wale engineers wa wizi wa kura washaanza kutoa siri
 
Fonte Forti
 
Kwema mkuu naoan umeimiss picha ya Marehemu Luteni Rajabu Ahmed Mlima mkuu toa hilo la wapi hilo profile daah kama South Sudan hahahaha
Acha mkuu ile picha nimeitoa sababu inanikumbusha mengi sana wale M 23 ***** zao wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…