Sina shida sana na Vinavyotoka Nje ya Nchi.Ukiwa serious sana maisha haya utapata tabu. Yaani mimi nitake kuuza subwoofer langu nipite kwa mwenyekiti likapigwe muhuri kwa 5,000 na 18% kodi ya TRA!?
Acha watu wauze vitu vyao kwa uhuru, kama unahisi kuna mali za wizi kareport polisi. Kumbuka kodi ya hivyo vitu ilishakatwa wakati vinanunuliwa na kama ni used kutoka nje ya nchi pia utaratibu umefatwa ndomana unaviona hapo.
Ukiwa serious sana maisha haya utapata tabu. Yaani mimi nitake kuuza subwoofer langu nipite kwa mwenyekiti likapigwe muhuri kwa 5,000 na 18% kodi ya TRA?
Acha watu wauze vitu vyao kwa uhuru, kama unahisi kuna mali za wizi kareport polisi. Kumbuka kodi ya hivyo vitu ilishakatwa wakati vinanunuliwa na kama ni used kutoka nje ya nchi pia utaratibu umefatwa ndomana unaviona hapo.
Mleta uzi ameongea jambo point sana.Ukiwa serious sana maisha haya utapata tabu. Yaani mimi nitake kuuza subwoofer langu nipite kwa mwenyekiti likapigwe muhuri kwa 5,000 na 18% kodi ya TRA?
Acha watu wauze vitu vyao kwa uhuru, kama unahisi kuna mali za wizi kareport polisi. Kumbuka kodi ya hivyo vitu ilishakatwa wakati vinanunuliwa na kama ni used kutoka nje ya nchi pia utaratibu umefatwa ndomana unaviona hapo.
Naunga mkono hoja.Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa mtaani. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k.
Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe utaratibu ambapo vifaa/vyombo vipigwe mihuri/alama ya utambulisho kutoka kwa Mamlaka husika na kusiwe na kifaa/chombo chohote mnadani ambacho hakijathibitishwa na Wahusika/Mamlaka kujua kimepatikana vipi...badala ya kuacha tu mambo yaendeshwe kiholela.
Na Wanunuzi waelimishwe juu ya athari ya kununua kifaa/chombo kisicho na muhuri (uthibitisho).
Yaan anataka kodi itozwe twice.Ukiwa serious sana maisha haya utapata tabu. Yaani mimi nitake kuuza subwoofer langu nipite kwa mwenyekiti likapigwe muhuri kwa 5,000 na 18% kodi ya TRA?
Acha watu wauze vitu vyao kwa uhuru, kama unahisi kuna mali za wizi kareport polisi. Kumbuka kodi ya hivyo vitu ilishakatwa wakati vinanunuliwa na kama ni used kutoka nje ya nchi pia utaratibu umefatwa ndomana unaviona hapo.
Ooj, for that case u have a point. Lakini unadhani ndo itakua suluhisho? Hapana.Sina shida sana na Vinavyotoka nje.
Hofu yangu ni haya Magodoro yetu tukiyaanika baada ya Mtoto kukojolea yanabebwa sana, na sababu kubwa ni kuwa tayari kuna soko la uhakika.
Kama hawa Wauzaji watatakiwa kuripoti kila wanachopokea kwenye yard zao....kwa kuthibitisha tu kuwa wameuziwa na Muuzaji/mmiliki halali, na akajitambulisha kwa Msimamizi/Kiongozi wa eneo itatosha na wala sijasema suala la risiti au kodi....lengo hapa ni ku discaurage wizi holela mitaani.
washauri watu waache kukopa FINCA and CoNinaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa mtaani. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k.
Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe utaratibu ambapo vifaa/vyombo vipigwe mihuri/alama ya utambulisho kutoka kwa Mamlaka husika na kusiwe na kifaa/chombo chohote mnadani ambacho hakijathibitishwa na Wahusika/Mamlaka kujua kimepatikana vipi...badala ya kuacha tu mambo yaendeshwe kiholela.
Na Wanunuzi waelimishwe juu ya athari ya kununua kifaa/chombo kisicho na muhuri (uthibitisho).
Naifahamu hiyo changamoto lakini ni rahisi sana kwa mmiliki halali kujitambulisha ofisi ya Kata lilipo duka/yadi ya kuuzia mali hizo kuliko yule aliyeiba.Tatizo litaanza na yule muuzaji kuthibitisha kua mali ni yake...
Kuanzia kwenye risiti ya awali.
Exactly my point, uwepo wa Wizi siku zote unasababishwa na soko.Mleta mada yupo sahihi, ila alisahau kueleza sababu ya kupata udhini ya mamlaka ili aeleweke kwa urahisi.
Kuna sehemu madalali walisombwa kwenye Difenda la polisi kisa, wanauza magodoro kumbe ni ya wizi.
Na pale walianza kidogokidogo lakini sasa hivi eneo limepanuka na wanaendelea kupanua eneo.Mkuu naunga mkono hoka, mitaa hiyo karibu na Pinpoint niliwahikutaka kununua kitu nikasita nisije kamatwa kutokana na uhalali wa mali husika ambayo ni used
Kitambulisho kinatosha.Tatizo litaanza na yule muuzaji kuthibitisha kua mali ni yake...
Kuanzia kwenye risiti ya awali.
Wazo zuri kuepusha watu kuuza vitu vya wiziMleta uzi ameongea jambo point sana.
Nadhani linapaswa kuangaliwa kwa makini sana suala hilo.
Mfano south yapo maduka kama hayo.
Yanaitwa pawn shops.
Huruhusiwi kuuza au kununuwa chochote bila ID yako na risiti ya kitu husika.
Ili chochote kikitokea basi ni wewe na wao.
Sent using Jamii Forums mobile app