Kibaya, wakopaji wana andika majina ya watu kama watu wao wa karibu bila ridhaa yao, na baada ya kuandikwa na mkopaji bila taarifa, na wewe unaitwa tapeli, dawa ni kuwashtaki tuHii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba
Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo
Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi ya 20
Msg za vitisho kibao, utaitwa majina ya kila Aina kuanzia mwizi tapeli, mzinguaji
Wale vijana hawana Heshima kabisa
Na mkopo ukizidi siku moja basi ujue hizo msg za vitisho zinaenda Kwa watu wako wote ambao umewasave kwenye simu yako
Unashangaa Tu mama mkwe anakwambia unatafutwa na mkopo wako loan umetapeli elf 20
I think serikali ipige stop kwanza ili wajipange vizuri,
Dawa ya deni ni kulipa acha janja janja..Unapoweka namba za wadhamin weka namba ambazo hazipatikani au zimefungiwa.
Hao jamaa kipind nikiwa nimepigika nilishawaliza sana
NanukuuHii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba
Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo
Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi ya 20
Msg za vitisho kibao, utaitwa majina ya kila Aina kuanzia mwizi tapeli, mzinguaji
Wale vijana hawana Heshima kabisa
Na mkopo ukizidi siku moja basi ujue hizo msg za vitisho zinaenda Kwa watu wako wote ambao umewasave kwenye simu yako
Unashangaa Tu mama mkwe anakwambia unatafutwa na mkopo wako loan umetapeli elf 20
I think serikali ipige stop kwanza ili wajipange vizuri,
Nanukuu
""Unashangaa Tu mama mkwe anakwambia unatafutwa na mkopo wako loan umetapeli elf 20""
Kama huwezi kulipa unakopa vya nini???!!!
Jamii za hovyo ndio Huwa Zina kopa na kukimbia deni...
What's up ππ
Dawa ya deni ni kulipa acha janja janja..
Kibaya, wakopaji wana andika majina ya watu kama watu wao wa karibu bila ridhaa yao, na baada ya kuandikwa na mkopaji bila taarifa, na wewe unaitwa tapeli, dawa ni kuwashtaki tu
Usipowaruhusu kuingingia kwenye contacts zako hawakupi?Wanaingia kwenye simu yako, wanatuma msg Kwa majina yote yalio kwenye simu yako
Kuhusu udhamini, Kuna wale wanaotuma ujumbe wa hiyo hela itume kwenye namba hii.
Mimi huwa nachukua zile namba Kama wadhamini wangu. Kipindi kingine tumia namba za wale wazee wa ndagu.
Unachukua mkopo kiulaiiini huku unapiga mluzi. Sasa ngoma itakua kwa wazee wa ndagu.
Kuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwataπ π tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyoπ π π π
Mkuu una akili timamu?!Hoja unaelewa?
Uncle hp4510 huwa sikurupuki.Hahaahaha sasa shida Iko hivi
Kama mdhamini wako ndani ya masaa 24 ajafanya anything wanaingia kwenye phone book yako au kwenye contact zote ulizopiga
Uncle hp4510 huwa sikurupuki.
Nanunua itel mpya, line mpya halafu contacts ninazoingiza Ni za matapeli na wazee wa ndagu tu. Halafu nawapigia ionekane Ni jamaa zangu.
Kisha naomba mkopo. Napewa nalipa, naomba Tena nalipa Tena , Tena na Tena mpaka tunafikishana kwenye milioni.