Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

Naunga mkono hoja, si vizuri kusikiliza nyimbo za injili baa kama ilivyo si vizuri kusikiliza nyimbo za kidunia kanisani
Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Me naona shida sio kwa wanaopiga wala serikali, shida ni kwamba na sisi wakristo nyimbo zetu nyingi zimekaa kuburudisha zaidi na hazina nguvu hata kumfanya anayesikiliza kuacha kusikiliza kwa mizaha.
Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Na bado zitapigwa sana na injili itahubiriwa sana kwenye mabar ili Yesu atakaposhusha hukumu asiwepo wa kusema hakusikia neno la Mungu
 
Zinaburudisha sana hasa pombe ikichanganya.
Injili ni kwaajili ya wenye dhambi.
Unaionea serikali bure maana nyimbo za injili sio mali yao.
 
Sisi Wakristo tunapenda nyimbo zetu zipigwe popote pale, kwanza ni nyimbo nzuri sana zinazoimbwa kwa lugha ya Kiswahili tofauti na Qaswida Sheikh
Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Zinaburudisha sana hasa pombe ikichanganya.
Injili ni kwaajili ya wenye dhambi.
Unaionea serikali bure maana nyimbo za injili sio mali yao.
Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwani kaswida zilipigwa marufuku na serikali? Wajaribu kuzipiga waone, upande wa pili wanaona sifa, islam hatutaki ujinga huo
 
Injili lazima hiubiriwe sehemu kote. Inatakiwa watu wajue neno

  • Sudan kuna waislamu 99% lakini leo wanauana ovyo kugombea madaraka?
  • Somalia ni waislamu 99% lakini wameuana kugombea madaraka mpk hapo hapo Somalia kuna nchi mbili, Somalia na Somaliland
  • Libya nao wanachinjana kama kuku kugombea madaraka.
Kama mafundisho yenu ya haki, wengine wasio waislamu wanajifunza nini mkiwa waislamu wenyewe kwa wenyewewe wanuana kisa madaraka?

Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
Kumbe mmi ni mwislamu 🤣😅
 
Acha zipogwe, walevi wote wataimba Mwambie Farao nimeokoka ....
Ohoo! Umenikumbusha zaidi ya miaka kumi iliyopita!

Siku moja niliamka saa nane Usiku baada ya kusikia watu wakiimba karibu na hosteli yetu. Nilifikiri kuna kikundi cha dini kinafanya mkesha.

Mwanzoni nilifikiri wanaimba, "MWAMBIE FARAO,
NIMEOKOKA,
SITARUDI TENA MISRI NAENDA KANAANI"

Lakini niliposikiliza kwa makini, niligundua haikuwa ibada bali ni wanachuo waliokuwa wamelewa baada ya kupata "boom"

Walikuwa wakiimba hivi:
MWAMBIE FARAO,
NIMESHALEWA,
SITAKI TENA POMBE NAENDA KULALA!!!

Na kweli walienda kulala kwa sababu baada ya muda mfupi hawakusikika tena.
 
Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi
Walevi wanaitwa na bwana
 
Wakristo wenyewe hawana tatizo na hilo,infact acha injili ihubiriwe popote pale soon zitaanza kupigwa misikitini.
Nyimbo za Kikristo zikitawala bar, madanguroni na kumbi za starehe vipi Waislamu wasioukubali Ukristo nao waanzishe bar zao au walewe huko huko Yesu anakohubiriwa hadi na wao wasilimu na waokoke?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ufia dini unakutesa, nyimbo nyingi zinamsifu Mungu sasa wewe hautaki Mungu asifiwe ila unapenda pombe! Kitafakari uone kama dini unaijua au umedandia tu.
 
"Serikali ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania(Visiwani,,Zanzibar Na Bara,,Tanganyika) Haina Dini,,Kwa Mujibu Wa Katiba iliyopo ila Wananchi Wake Wana Dini!!lakini pia kwani wakipiga hizo nyimbo kwenye maisha ya kawaida tuu,,unapungukiwa au kuongezeka nini,,usichukulie maisha Kwa kukakamaa Kwa mambo ambayo wakati mwingine ukiyatazama Kwa fikra,,,Maono,,,na mitazamo ya uhalisia wa kiulimwengu ni Ubatili tuu ni wachache Wanatumia uongo na ujiinga walioupandikiza Kwa wengi kujinufaisha zaidi wao kupitia taasisi mbalimbali mojawapo ni hii Taasisi ya "DINI"ni taassisi ya Hovyo mnoo!!
Serikali haina dini lakini ina jukumu la kulinda dini za watu wake.

Kuna dini ilizuka Kibaha wafuasi wanaabudu usiku gizani uchi, serikali hii unayosema haina dini iliwafurumusha chap.

Kuna dini waliteka Airport kwamba wanataka kwenda kuhubiri na kufundisha Ulaya bila nauli na bila passport, serikali hii isiyo na dini iliwajaza kwenye defenda.

Serikali hii isiyo na dini ilitia wafuasi wa dini moja ya J'mosi ambayo dhehebu lake jipya toka nchi jirani iliingiza mafundisho yaliyopelekea watu kukatana mapanga kisa ng'ombe dume, beberu na jogoo wa wapagani waliacha makundi yao kwenda kuzini na majike ya makundi ya waumini hawa, walifundisha kuwa hakuna kula mifugo dume kwa sababu ni wazinzi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Udwanzi na unaa huwa vinaambatana na watu wanoko wanoko hivi

Mkuu unafanyakazi Polisi?Takukuru? Tiss? Tanesci? au TRA?

Magereza na jeshi hawana unoko🤣🤣🤣
 
Marko 2:16-17
16 Na waandishi na Mafarisayo walipomwona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.

Pia soma hii:-
Yesu Awatuma Wanafunzi

Marko 16:14-15
14 Baadaye akaonekana na wale kumi na mmoja walipokuwa wakila, akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki wale waliomwona alipofufuka katika wafu.

15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Halafu wewe wataka kuweka mipaka!
Zab.1:1-3

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

Back
Top Bottom