Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

Serikali inahusikaje mkuu. Kwa Sheria Gani sasa nimeamua kuweka mziki mnene wa rose huku nikila monde mdogo kidogo.
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela wimbo wa taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ni tamko la wenye nyimbo au lako wewe?
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela wimbo wa taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kama wanazisikiliza hamna shida. Ikiwezekana, hizo nyimbo za Injili zisindikizwe na mahubiri.
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Labda zinanasibishwa na matendo ya walevi ama yafanyikao bar.
 
Kama muugiza wa brother yesu ni kugeuza maji kuwa divai ata vazi la yesu ilikua ni haki kabisa kuwa ata pazia la baa , Leo weekend wazee tuleni bia .
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sasa nyimbo zenyewe Mara regae,Mara rap,bolingo..kwa nini zisitwangwe bar!?..
 
Naunga mkono hoja, si vizuri kusikiliza nyimbo za injili baa kama ilivyo si vizuri kusikiliza nyimbo za kidunia kanisani
 
Mnapiga kelele sana, Monitor yuko wapi, embu kaeni kimya, tunapaswa kuomboleza taifa linakwenda kupokea aibu kubwa pale Lupaso, Makolo mpo?
 
Back
Top Bottom