Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,711
- 9,317
Qwasida ni nini?Ndiyo jifunze kitu kipya uislam hauna nyimbo.
Qwasida ni nini?Ndiyo jifunze kitu kipya uislam hauna nyimbo.
Ule wimbo wa Rose Mhando unaochapa wenye dhambi kwenye ile album yake ya kwanza ukiipiga Bar utauza chupa ngapi kama siyo utafunga bar?Sisi Wakristo tunapenda nyimbo zetu zipigwe popote pale, kwanza ni nyimbo nzuri sana zinazoimbwa kwa lugha ya Kiswahili tofauti na Qaswida Sheikh
unapambana injili isiende mbele sio?Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.
Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?
Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?
Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Neno la Mungu lipo kwa ajili ya wenye dhambi.Walevi wanaitwa na bwana
Hakuna kitu kinaitwa qaswida kwenye uislam ni nyimbo kama nyimbo zingine na hazitambuliki.Qwasida ni nini?
Qwasida yenyewe inaimbwa kwa lugha ya kiarabu. Anaelewa?Hebu kunywa pombe Lewa halafu cheza Kaswida kama inapanda
Ha ha ha ha ha haHakuna kitu kinaitwa qaswida kwenye uislam ni nyimbo kama nyimbo zingine na hazitambuliki.
Pale unapoleta ujuaji kwenye usiyo yajua alafu unaandika utumboHa ha ha ha ha ha
Kwahiyo wewe unaujua Uislamu kuliko waislamu wenyewe?
- Qwasida ipo
- Waislamu wamegawanyika katika makundi mawili kuna washia na wasuni. Sijui wewe upo upande gani kati ya washia na wasuni?
Kwani dini zipo 2 tu... Ni sawa kupiga marufuku lakini hoja kwa nini zipigwe marufuku haipo sawaSerikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.
Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?
Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?
Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ikiwezekana, zipigwe na kwenye mahoteli na nyumba za kulala wageni. Na kila baada ya nyimbo kadhaa kuweko na mahubiri.Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.
Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?
Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?
Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nyimbo za dini zikipigwa bar, unapata shida gani?Ule wimbo wa Rose Mhando unaochapa wenye dhambi kwenye ile album yake ya kwanza ukiipiga Bar utauza chupa ngapi kama siyo utafunga bar?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Dada Jane, nani alisema walio kwenye kumbi za starehe Wana dhambi kuliko walio kwenye maabadi?Hakuna shida wimbo wa Kikristo kupigwa bar. In fact, zinatakiwa kupigwa zaidi bar kuliko kanisani. Yesu alikufa kwa ajili ya wenye dhambi siyo watakatifu.
Shida watu weusi wakiwa kwenye dini ya Al Jinn nao wanajifanya nao ni waarabu weusi.Pale unapoleta ujuaji kwenye usiyo yajua alafu unaandika utumbo
Si ndiyooo😅 Ukristo wa sasa ni Anasa na Sifa. Thats tunasema ukiona mpagani huyo ni mkristo ni jambo la muda tu.Kwahiyo Ukristo unakoekelea utaacha kumjengea MUNGU nyumba ya kumuabudu na kwenda kumuabudu bar siyo?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Unachoweza kufanya kwa usahihi ni kuandika kashfa kwasababu kichwani ni mweupe na unahiaji uonekane mjuaji ila nikisoma unachoandika unaonekana ni mjinga mmoja tu.Shida watu weusi wakiwa kwenye dini ya Al Jinn nao wanajifanya nao ni waarabu weusi.
Wapo radhi kuua ndugu zao kisa dini iliyoletwa na waarabu kwa biashara ya utumwa na pembe za ndovu.
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.Unachoweza kufanya kwa usahihi ni kuandika kashfa kwasababu kichwani ni mweupe na unahiaji uonekane mjuaji ila nikisoma unachoandika unaonekana ni mjinga mmoja tu.
Mjinga kama wewe dawa yako ni kukunyamazia.
your are just an empty headed.Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Kwani nyimbo za kiislam serikali imepiga marufuku? Wapige wakione cha moto.Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.
Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?
Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?
Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.your are just an empty headed.