Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeuona mkono wake bwanaaaa.

Dah Inalilah Wa Inailah Rajiun.
Sisi Wakristo tunapenda nyimbo zetu zipigwe popote pale, kwanza ni nyimbo nzuri sana zinazoimbwa kwa lugha ya Kiswahili tofauti na Qaswida Sheikh
 
baa ndio sawa kwa nyimbo za kikiristo maana walevi na wakristo akili zao moja
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yesu atahubiriwa kila mahali.
Hao walevi pia Mungu anawahitaji tulia hii sio dini ile
 
Uislam hauna nyimbo yoyote , mziki ni haram katika uislam.
Na hizi Qaswida zinazopigwa kila siku sikuhizi ni za Wakristo?

Sio kwenye harusi tu, ingia kwny Mabus ya Tashriff, Raqeeb, Abood, Tahmeed na zile hiace zilizoandikwa

Inna llah Maswabirina au Allah Akbar ndio utasikia Kaswida mwanzo mwisho
 
Hizo ni nyimbo za New age movement au christian science churches au nyimbo za kizazi kipya au nyimbo za kimwili.
Za wafanyabishara wa nyimbo za injili gospel business na sio nyimbo zenye uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Umewahi sikia nyimbo za kuabudu,au za tenzi za rohoni au za kusifu bar unataka mapepo yakimbie.
 
Injili popote penye watu acha zipigwe bar uenda wengine wakisikia wataokoka na kuacha ulevi.
Ulevi unaharibu akili
 
Hoja yako ni njema ila acha watu wamsifu mungu. Nb kwa uelewa wangu bar sio dhambi. Bar ni jengo, dhambi ni matendo na sio jengo.

Hivyo tukemee matendo mabaya na sio majengo.
Huwezi tenganisha jengo na matendo.
Nyumba za makahaba, casino,inajulikana boss wao nani
 
Na hizi Qaswida zinazopigwa kila siku sikuhizi ni za Wakristo?

Sio kwenye harusi tu, ingia kwny Mabus ya Tashriff, Raqeeb, Abood, Tahmeed na zile hiace zilizoandikwa

Inna llah Maswabirina au Allah Akbar ndio utasikia Kaswida mwanzo mwisho
Qaswida ni nyimbo kama nyimbo zingine hazihusiani na uislam, hakuna ibada yoyote ya Wimbo kwenye uislam na nyimbo ni haram
 
Qaswida ni nyimbo kama nyimbo zingine hazihusiani na uislam, hakuna ibada yoyote ya Wimbo kwenye uislam na nyimbo ni haram
Labda useme kuna Waislam tofauti, wapo wanaoona nyimbo ni Haram na wapo ambao nyimbo ni sehemu ya Ibada kwao
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Injili lazima hiubiriwe sehemu kote. Inatakiwa watu wajue neno
Kama muugiza wa brother yesu ni kugeuza maji kuwa divai ata vazi la yesu ilikua ni haki kabisa kuwa ata pazia la baa , Leo weekend wazee tuleni bia .
  • Sudan kuna waislamu 99% lakini leo wanauana ovyo kugombea madaraka?
  • Somalia ni waislamu 99% lakini wameuana kugombea madaraka mpk hapo hapo Somalia kuna nchi mbili, Somalia na Somaliland
  • Libya nao wanachinjana kama kuku kugombea madaraka.
Kama mafundisho yenu ya haki, wengine wasio waislamu wanajifunza nini mkiwa waislamu wenyewe kwa wenyewewe wanuana kisa madaraka?

Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Acha zipogwe, walevi wote wataimba Mwambie Farao nimeokoka ....
Mathayo 9:10-13
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.

11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Me naona shida sio kwa wanaopiga wala serikali, shida ni kwamba na sisi wakristo nyimbo zetu nyingi zimekaa kuburudisha zaidi na hazina nguvu hata kumfanya anayesikiliza kuacha kusikiliza kwa mizaha.
 
Back
Top Bottom