Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

Ili siku ya mwisho pasiwe na hudhuru ya dhambi acha wapige tu.

Si imeandikwa kabla ya kurudi kwake Yesu kristo ni sharti Kila mtu afikiwe na injili

Dah! tuwe na mwisho mwema
 
Lengo la nyimbo za dini ni kuwafanya watu waache dhambi... Sio mbaya gospel ipigwe tu bar mpaka tupate watu wema kutoka bar.
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kama Amapiano zinapigwa kanisani kwa nini hizo nyimbo zenu zisipigwe bar?
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nyie si ndio mnaosema Mungu anahubiriwa popote? Kulikoni tena? 😂😂😂😂😂
 
Wakristo wenyewe hawana tatizo na hilo,infact acha injili ihubiriwe popote pale soon zitaanza kupigwa misikitini.
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nyimbo za kikristo za siku hiz zimekaa kidunia sana zinavutia mpaka walevi wacha zipigwe
 
"Serikali ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania(Visiwani,,Zanzibar Na Bara,,Tanganyika) Haina Dini,,Kwa Mujibu Wa Katiba iliyopo ila Wananchi Wake Wana Dini!!lakini pia kwani wakipiga hizo nyimbo kwenye maisha ya kawaida tuu,,unapungukiwa au kuongezeka nini,,usichukulie maisha Kwa kukakamaa Kwa mambo ambayo wakati mwingine ukiyatazama Kwa fikra,,,Maono,,,na mitazamo ya uhalisia wa kiulimwengu ni Ubatili tuu ni wachache Wanatumia uongo na ujiinga walioupandikiza Kwa wengi kujinufaisha zaidi wao kupitia taasisi mbalimbali mojawapo ni hii Taasisi ya "DINI"ni taassisi ya Hovyo mnoo!!
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wakristo tunaenjoy kusikia nyimbo zetu popote, sio vibaya

Halafu Waislam na Bar ni wapi na wapi? Waislam hawanywi kabisa pombe...so tunapigiwa sisi Wakristo

Hata FaizaFoxy mjingamimi na Mlolongo wanajua hili
 
Serikali ipige marufuku nyimbo za Dini ya Kikristo kupigwa bar.

Mbona hakuna nyimbo wakfu za Dini ya Kiislam zikipigwa bar?

Mbona hakuna bar inapiga holela Wimbo wa Taifa?

Kuna shida gani hadi nyimbo wakfu za Kikristo kutumbuizwa bar?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Marko 2:16-17
16 Na waandishi na Mafarisayo walipomwona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.

Pia soma hii:-
Yesu Awatuma Wanafunzi

Marko 16:14-15
14 Baadaye akaonekana na wale kumi na mmoja walipokuwa wakila, akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki wale waliomwona alipofufuka katika wafu.

15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Halafu wewe wataka kuweka mipaka!
 
Back
Top Bottom