Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

Status
Not open for further replies.
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.
I do support you,wanawake wamekuwa wajinga na wepesi kudanganyika na manabii/wachungaji matapeli wa kilokole.Nafikiri soln ni sisi kukaa nao na kuwafungua macho otherwise watauza mali zote include waume zao na kupeleka marejesho kanisani.
 
sema yakome kumpoteza mke wako sio wake zetu mbna si wenzio wake zetu wanaenda huko na mambo yanaenda kama kawa.kinachomsumbua mkeo ni ujinga tu wa kiimani

subiria kulea watoto wa wanaume wenzio
 
wakinamama wengi siku hizi wameshatekwa na haya maombi, maombi, maombi ...anaacha kufanya shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kumhudumia mumewe, anakimbilia kwenye maombi ...hapa arusha kuna hawa wanaoitwa radio safina, wamewateka kabisa akina mama zetu, akina dada, hawasikii hawambiwi. Unawakuta wamebeba chumvi/fruto wanaenda kwenye maombi radio safina.

mungu akusamehe wewe na mleta mada hamjui myaongeayo,
 
Mungu akurehemu hujui uyasemayo ila nia yako ndo inasomeka bayana acha Mungu aitwe Mungu achana na kiburi cha uzima shindana na wanadamu Mungu ni sawa na mbuyu haukumbatiwi ila unazungukwa tu mpende Yesu
 
Pale kwa Kakobe mpaka utawaonea huruma watoto maana mama anawashindisha na njaa watoto,au amewaacha Nyumbani bila uangalizi kisha mama anakesha kwenye maombi

hivi kwa nini haya makanisa yanawateka sana wanawake? mfano.mwingira na joe davi wanatuhuma za kuzini na wake za watu.
 
hivi naomba kuuliza serikali yetu ina dini?
na kwanini ilitoa uhuru wa kuabudu?

nahisi kuna tatizo ndani ya ndoa yako
wala sio chombo cha dini kinachomsababishia
mkeo aache majukumu yake kwani hata hukko
anakokwenda wanafundisha wajibu wa mwanamke
kwa mumewe na familia pia yaelekea hakuna amani
ndio maana anakimbilia amani kanisani
sasa kwanini umfanye mtu ashindwe kufanya lile
atakalo eti kisa kaolewa,? naye mkeo ana uhuru
na uchaguzi wake mwache afanye anavyotaka
ndo maana tunataka kuutokomeza mfumo mtawala
wa wanaume hapa tanzania.
 
yessss wewe umeongea vyema bora umemwambia kwani
mm ningeharibu hapla kanisa sio mahali ambapo mtu
anaaribika bali ni mahali pa kumfanya mtu awe mwema
sasa huyu naona analeta mambo ya udini wakati TZ
haina udini kabisa, anataka kulete mambo ya nchi jirani hapa

Tatizo liko kwenye ndoa yao na si kanisa yaelekea wao ni
viruka ndo maana anaona eti kanisa la kilokole ndo limemdaaa
mtoa mada afanye juu aombe msamaha kwa Mungu wake
ana atasamehewa kwa lugha yake hii
sema yakome kumpoteza mke wako sio wake zetu mbna si wenzio wake zetu wanaenda huko na mambo yanaenda kama kawa.kinachomsumbua mkeo ni ujinga tu wa kiimani
 
lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

mungu akusamehe hujui ulitendalo, kwanza jichunguze wewe mwenye je ni bora mkeo kuwa malaya au ni bora amche mungu? Kama wewe hutaki kuhokoka mbinguni hutaingia na mkewako, utaingia pekeyako maana siku ya hukumu utasimama pekeyako, mwache mkeo amtafute bwana yesu yungali hai, ikimpendeza bwana yesu kukuokoa utajua alichokua anakifanya mkeo utalia machozi na kumshuru mungu kwa ajiliya mkeo, mungu awabariki wake zetu kwa kutuombea kwa mungu usiku na mchana tubadilike na kumcha mungu,
 
inashangaza sana tena sana anashindwa kuongea na mkewe vyema eti kanisa kwan
ndo lililogeuza mkewe, atatuwekea jam kwa maserver wetu hapa
vitu kama hivi si vya kuweka hapa vinachefua

...no wonder mambo aliyoshindwa kumfundisha mkewake anasingizia kanisa,hata za kuchanganya na za kuambiwa hana
 
bora umemwambia wewe maana mm nikiongea nitaharibu wamenidiscarriage hawa.

nilimjibu kwa uchungu maana mimi nilikua mlevi wa kupindukia na sikuwa na fanya mema mbele za mungu,lakini mke wangu alimlilia mungu kwa jili yangu,leo nimekua kiumbe kipya ndani ya yesu, kama mkewangu asingelisimama,leo ningekua wapi? Na hato makanisa ambayo yeye anayadharau? Mimi nilikua na dini yangu na mabaya niliokua nayafanya dini haikunisaidia, ila yesu alimsikia mkewangu akaniokoa,
 
Yani mkubwa ni kweli kabisa, Mimi sikatai kuhusu hizi seminar lakini hawa jamaa pia wangekuwa wanawafundisha jinsi ya kudumisha ndoa zao, mambo ya ku generate income, kuangalia watoto etc. Lakini hawa jamaa wanachofanya ni kuwatengeneza waelewe jinsi ya kutoa sadaka. This is ridiculous I am telling
 
Hilo ni tatizo la ndoa na mahusiano halihusiani na kanisa, msikiti au nyumba yoyote ya ibada. Nenda kamuone kiongozi wa wanawake huko anakosali mkeo, atamsaidia sana.
Tatizo hapo ni wewe na mkeo mmesahau job discrimination yenu na kuanza ushindani wa madhehebu badala ya kupalilia ndoa yenu.
Ukukaa kwenye nafasi yako kama mume na kichwa cha familia utafanikiwa. Acha ubabe uhuru wa kuabudu huo by the way akitimiza wajibu wake huko alikokuchagua ni kuzuri pia.
Najivunia mke wangu tangu alipohamia kwa walokole kawa mke bora sana.
 
Mkuu.Pole sana.Bila shaka wewe ndio chanzo cha yeye kuitafuta faraja kanisani masaa 24.Jichunguze mkuu.Suluhisho la yote jiunge nae kanisani muone mchungaji wake halafu ujadiliane na uyo mchungaji na umueleze kero zote za mkeo.Utapata picha nzuri.
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

umefungwa na nguvu za giza.
 
Suala la msingi ni kumzuia mkeo km ulivyonena mengine yatakupotezea muda nchi inatoa uhuru wa kuabudu
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

usishindane na BWANA ulaaniwe kwa jina la YESU ....hyo ni tabia ya mkeo
 
ulifanya vyema kuokoka na kumpokea Yesu kuwa mwokozi wako
hata mm ameniudhi sana ndo mana nikasema bora umemjibu wewe
maana mm ningesababisha matatizo hapa bure
kama kweli ataelewa kuwa makanisa haya yanafanya mtu kuwa
kiumbe kipya basi ataelewa post hii hapa

ninachomumba asome warumi 10:9-11 ndipo atubie dhambi yake hiyo

nilimjibu kwa uchungu maana mimi nilikua mlevi wa kupindukia na sikuwa na fanya mema mbele za mungu,lakini mke wangu alimlilia mungu kwa jili yangu,leo nimekua kiumbe kipya ndani ya yesu, kama mkewangu asingelisimama,leo ningekua wapi? Na hato makanisa ambayo yeye anayadharau? Mimi nilikua na dini yangu na mabaya niliokua nayafanya dini haikunisaidia, ila yesu alimsikia mkewangu akaniokoa,
 
ndoa yake ina mgogoro anasingizia kanisa kwanini lakini
watu wengine hawaoni kuwa ni wakosaji
bora atubie dhambi yake hii na afanye mchakato wa ndoa yake
si kuleta mada zisizo na mkia humu mjengoni
chunguza hiyo ndoa yako kwanza,tatizo si KANISA la kiroho.
Yesu akusamehe sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom