Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

Status
Not open for further replies.
una MAPEPO

We ndo una pepo kali sana......Leo ni siku ambayo mke anatakiwa kukaa na familia yake....Leo familia inatakiwa ku-enjoy chakula alichopika mama, kula pamoja na kuongea pamoja...

Sasa mama anashinda kanisani kutwa unafikiriaje......????
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Ndugu tatizo la mkeo usilijumuishe kwa wote, mkeo anamatatizo binafsi may be haelewi vizuri biblia inasema nini kwa mtu kama yeye.

Kitu kingine, hakuna kanisa lolote lile linalo anzishwa bila kupitia taratibu za kiserikali, kila kanisa linapitia taratibu mbali mbali kuanzia mtaaa mpaka wizara husika.

Huo ni udhaifu wa mkeo, mwambie atimize majukumu yake kadri biblia inavyo muagiza afanye.
 
Wakinamama wengi siku hizi wameshatekwa na haya MAOMBI, MAOMBI, MAOMBI ...anaacha kufanya shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kumhudumia mumewe, anakimbilia kwenye MAOMBI ...hapa Arusha kuna hawa wanaoitwa RADIO SAFINA, wamewateka kabisa akina mama zetu, akina dada, hawasikii hawambiwi. Unawakuta wamebeba Chumvi/fruto wanaenda kwenye maombi radio safina.
Pale kwa Kakobe mpaka utawaonea huruma watoto maana mama anawashindisha na njaa watoto,au amewaacha Nyumbani bila uangalizi kisha mama anakesha kwenye maombi
 
Hakuna mlokole mwenye upuuzi kama ulivyoeleza ww inawezekana mkeo amepata wa kumfikisha zaidi yako then anasingizia kwenda kanisani. By the way unataka tuhamie anglican(kwa mashoga)? Wa kupime akili na haja kubwa sio bure.
 
Nyie c mnafanya biashara mnapata hasara wenzenu wanauza MANENO na wanapiga pesa kiroho safi ulokole hoyeeee
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Yamekukuta eeeehhh!!! This is your private business. Hayatuhusu. Serikali haina dini.
 
Wewe huna akili na una matatizo nilitegemea utamuiga na kumtia moyo eti unampiga marufuku,ipo siku utajuta akiamia bar na guest house
 
pale kwa kakobe mpaka utawaonea huruma watoto maana mama anawashindisha na njaa watoto,au amewaacha nyumbani bila uangalizi kisha mama anakesha kwenye maombi

we kwel bongolala
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Pole sana kaka, huyo mke wako atakuwa kwenye kundi la watu wenye " hisia kali" kwa Mungu na sio " imani kali" kwa Mungu. Mtaani kweu kuna jamaa kakimbiwa na mke wake mlokole tangu mwezi desemba mwaka jana. Jamaa akimwambia mke wangu rudi, mwanamke anajibu " siwezi kurudi kwako mpaka mungu aniambie!"
 
Ww,inaonekana elimu yako std seven or form four fail,maana ungefaulu usingekuwa na mawazo ya kijinga kama hayo,likewise hii forum ni ya education unaingiza dini,furthermore peleka ujinga wako facebook,bila shaka una laana
 
one day you will need these people. narudia tena una mapepo kubali kuombewa yatoke mkuu. unavyoongea unadhihirisha hauko peke yako. kuna roho mbaya inayokushauri hivyo. yohana 3 :16
 
Hilo sio jukumu la serikali ya nchi mkuu.., ni jukumu la serikali ya nyumba yenu kaa nae mueleweshe kwamba kila kitu na wakati wake na kitu chochote kikizidi kinakuwa karaha.., hata huyo Mungu anayemfuata kabla ya kutimiza wajibu wake (familia ambao ni wewe na watoto wenu) lazima hatakuwa hapendi.
 
Huyo mke wako kasha kolea wa mchungaji ndio maana hata kitanda hatandiki anawahi dushelele,hamna ulilosema linahusiana na na kanisa kijana.

Point noted hakuna anachokisema kinacho relate na kanisa la kilokole de problem is with ur wife's MInd wat is to be done ni kutibu ufahamu wake ajue kila jambo linawakati wake sio kanisa na hakuna kanisa linalofundisha mwanamke asitandike kitanda au amlee mwanao ipasavyo ila mkeo hajui kutoa vipau mbele and she is very poor on time management otherwise hata inawezekana haendi kanisani ana attend Vitaulo na vigodoro
 
Pole sana kaka, huyo mke wako atakuwa kwenye kundi la watu wenye " hisia kali" kwa Mungu na sio " imani kali" kwa Mungu. Mtaani kweu kuna jamaa kakimbiwa na mke wake mlokole tangu mwezi desemba mwaka jana. Jamaa akimwambia mke wangu rudi, mwanamke anajibu " siwezi kurudi kwako mpaka mungu aniambie!"

Mkuu nayasubiri Yale madude ya uchawi
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

mkuu kichwa cha habarina maada uliyoandika mbona vinatofautiana?"[h=2]Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole"hapo umekosea kusema ya fungwe.mkeo inabidi apewesomo lakini si kusema makanisa ya kilokole yafungwe,maana bora mke wako anakesha kanisani si baa.pia inawezekana mkeo kuna matatizo yanamtatiza ndio maana kaona kimbilio kanisani.makanisa ya kilokole haayawezi fungwa pia mbona baa zipo nyingi na zinatufanya tuwasahau wake zetu?.pia mpe mke uhuru wa kuabudu maana kila mtu anauuru wa kuabudu,tena wingi wa makanisa ni sawa na bidhaa tu sokoni ili mtu awe na choice kubwa(free market).pia haya makanisa ni msaada sana ndio maana wengi wanakwenda huko na wanashida zaid ya 50% wanaoenda huko .kunamzee alikuwa anasema kama wewe lakini siku alijikuta yupo ndani ya kanisa la kilokole.punguza jazba kupiga marufuku ni neno gumu sana mweshimiwa[/h]
 
Point noted hakuna anachokisema kinacho relate na kanisa la kilokole de problem is with ur wife's MInd wat is to be done ni kutibu ufahamu wake ajue kila jambo linawakati wake sio kanisa na hakuna kanisa linalofundisha mwanamke asitandike kitanda au amlee mwanao ipasavyo ila mkeo hajui kutoa vipau mbele and she is very poor on time management otherwise hata inawezekana haendi kanisani ana attend Vitaulo na vigodoro
ni kweli kabisa mkuu nakuunga mkono.maana makanisa ya kilokole si wajinga.kuna watu na heshima zao.ni mke wake tu anamatatizo na poor time mgt
 
ulivoandika kwa jazba loh simamia msimamo wako kuwa hutaki aende huko basi inatosha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom