Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

Status
Not open for further replies.
Huenda mkeo anasali kanisa la kipekee,nijuavyo kanisani tunaaswajinsi ya kunyenyekea,kuwapenda,kuwatunzanna kuwajali waume/familia zetu,hyo ya mke kutotandika hata kitanda kuna tatizo,umelificha!
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Mpendwa bora mkeo anakimbilia kanisani kwenye maombi. Wenzio wake zao ni kama ifuatavyo:
- kutwa kwenye kitchen party,
- wengine wakitoka kazini wanapitia baa mpaka mid night ndio wanarudi nyumbani,
- wengine wanashinda na maboss ofisini mpaka mausiku mazito (nani ajuae kinachoendelea huko na Kama wote wako salama au boss anakusaidia),
- wengine wanashinda kwenye kumbi za starehe,
- wengine wanashinda kuzungukia ndugu au majirani nk, kila sherehe na misiba hawakosi, we acha tu, hayo ni kwa uchache wake.

Chamsingi hapo ni kuangalia Kama unatimiza wajibu wako Kama baba na mume. Mwanamke anaishi zaidi kwa hisia hivyo jikague kwanza kabla ya kumgombeza.

Mwisho wanawake kati ya vitu wanavyofundishwa kwenye maombi ni kuombea familia, kanisa na taifa, kuheshimu ndoa zao, kutunza watoto, kusimamia majukumu ya ndoa na familia, kufanya ujasiriamali n.k

Sasa huko Lutheran ndio atakuwa salama. usalama wa mwanamke uko ktk moyo wake ndugu. Kuna padri jirani hapa amekufa kaacha utitiri wa watoto tena wengine wako kwenye ndoa zao.

Ndugu haijalishi ni kanisa la kilokole, Lutheran, Anglican, Roman Catholic au Muslim. Watoto wengi SIO WEEEEEENUUUUUUU!
Wengine ni wa majirani, mashemeji, marafiki, viongozi wa dini, maboss ofisini n.k

We mshukuru Mungu na unyamaze kimyaaaaa. Kama mnabisha nyie wanaume fanyeni DNA.

Queen Esther
 
Hakuna tatizo kwa MAKANISA; Nahisi kuna tatizo kwako, ndiyo na kwa mkeo pia. TAFUTENI MCHUNGAJI AWASAIDIE.
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Mm haya makanisa siyapend bcoz yanapija makelele sn mtaani na wanayaweka karbu na nyumba zetu alaf ibada yao n km mziki vile kwaiyo hatulali wala kushnda kwa raha nakua km tupo bar,yan nachukia sn na sku nkija kua rais ntapiga marufuku ujengaj wa makanisa kihole holela karbu na makaz ,waende huko shamba wakajenga,kwanza kinachoniuz ni huko kuwadanganya watu kua wanaongea na issa(yesu) to be honest mm siwapend hawa watu na ningekua na uwezo wa kuwa burn bas ingekua tayar kwan hatuna raha tena na makaz yetu,ni biashara ya mtu binafs tu na binadam walikua kwenye kiza wanafuata tu,ukwel mtu anae amin hiv vtu kapotea tena katupka
 
Ni vigumu sana kupata hayo madaraka ya kuwahamisha na hutoyapata... Ok unaonaje wakajenga club ya music jirani kwako?
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.
ama kweli kila mtu na akili yake kanisa lipigwe marufuku kwaajili yko wwe na mkewe? Unataka msada?mmh!
 
Kumamae zako,
mjinga wewe,
unaona raha tu kutukana dini za watu?
Shenz taipu!

Mm sikubal km ukrsto n DINI ,HAKIKA NI UTAPEL TU NA NDOMANA UMEWEZA TUKANA MATUS KM HAYO,leo masista hawatakiw kua na mme lkn maziwa yao yanadondoka padr paster hatakiw kuoa ,sasa yeye amezaliwa vp,physiologic km upo sawa huwez kukaa bila mke ,iweje leo asioe ,kumbe pemben wanakamua,huu n usanii amken wakrsto sio ubishan jarbun kutumia akil bnafs
 
Mkuu,

Hivi unafikiria kweli?
Hivi umefanya wapi research kwamba wanawake wanaosali kwenye makanisa ya kilokole hawafanyi kazi za nyumbani?

Hivi umejuaje kwamba hiyo si tabia binafsi ya mkeo na ni tabia za wanawake wa kilokole kwa ujumla?

Mie nakushauri tu usitoe conclusive arguments!Nenda ongea naye (mkeo) na kubalianeni kwamba kabla ya kwenda kanisani kazi kadhaa zinabidi ziwe zimeshafanyika!

Msisingizie wokovu,ni tabia mbaya za wake zenu!
 
Ni vigumu sana kupata hayo madaraka ya kuwahamisha na hutoyapata... Ok unaonaje wakajenga club ya music jirani kwako?

Sitak club,ila kinachonishangaza ile ni nyumba ya ibada kwann kuwe na muzic na makelele km vile,kwan umeambiwa mungu ni kiziw???wanatusmbua
 
kwa hiyo umeshindwa kabisa kumrekebisha mkeo ukaamua kuja kulalamika huku..!!!
NO WONDER................
 
Jaribu kumwona mchungaj wake mkeo ili umtaarifu udhaifu Wa mkeo.nakuomba uckufuru Ni dhamb Na Ni laana kubwa Na Kama huamini soma mtandao'people who waliomkufuru god'utapata kitu.
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Nilikua nadhani niko mwenyewe kwenye kadhia hii,Mara mkesha yani kero tupu.
 
Wakinamama wengi siku hizi wameshatekwa na haya MAOMBI, MAOMBI, MAOMBI ...anaacha kufanya shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kumhudumia mumewe, anakimbilia kwenye MAOMBI ...hapa Arusha kuna hawa wanaoitwa RADIO SAFINA, wamewateka kabisa akina mama zetu, akina dada, hawasikii hawambiwi. Unawakuta wamebeba Chumvi/fruto wanaenda kwenye maombi radio safina.

Leo msalani kaongea la Maabara.
 
Mpendwa bora mkeo anakimbilia kanisani kwenye maombi. Wenzio wake zao ni kama ifuatavyo:
- kutwa kwenye kitchen party,
- wengine wakitoka kazini wanapitia baa mpaka mid night ndio wanarudi nyumbani,
- wengine wanashinda na maboss ofisini mpaka mausiku mazito (nani ajuae kinachoendelea huko na Kama wote wako salama au boss anakusaidia),
- wengine wanashinda kwenye kumbi za starehe,
- wengine wanashinda kuzungukia ndugu au majirani nk, kila sherehe na misiba hawakosi, we acha tu, hayo ni kwa uchache wake.

Chamsingi hapo ni kuangalia Kama unatimiza wajibu wako Kama baba na mume. Mwanamke anaishi zaidi kwa hisia hivyo jikague kwanza kabla ya kumgombeza.

Mwisho wanawake kati ya vitu wanavyofundishwa kwenye maombi ni kuombea familia, kanisa na taifa, kuheshimu ndoa zao, kutunza watoto, kusimamia majukumu ya ndoa na familia, kufanya ujasiriamali n.k

Sasa huko Lutheran ndio atakuwa salama. usalama wa mwanamke uko ktk moyo wake ndugu. Kuna padri jirani hapa amekufa kaacha utitiri wa watoto tena wengine wako kwenye ndoa zao.

Ndugu haijalishi ni kanisa la kilokole, Lutheran, Anglican, Roman Catholic au Muslim. Watoto wengi SIO WEEEEEENUUUUUUU!
Wengine ni wa majirani, mashemeji, marafiki, viongozi wa dini, maboss ofisini n.k

We mshukuru Mungu na unyamaze kimyaaaaa. Kama mnabisha nyie wanaume fanyeni DNA.

Queen Esther

mh tumekwisha kama ndio hivo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom