Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

Status
Not open for further replies.
Ww,inaonekana elimu yako std seven or form four fail,maana ungefaulu usingekuwa na mawazo ya kijinga kama hayo,likewise hii forum ni ya education unaingiza dini,furthermore peleka ujinga wako facebook,bila shaka una laana

...no wonder mambo aliyoshindwa kumfundisha mkewake anasingizia kanisa,hata za kuchanganya na za kuambiwa hana
 
Kama Umeshindwa Kugunduj Jukwaa Mahususi Kwa Hoja Yako Hakuna Sababu Ya Kutokuamini Kwamba We Ni Chizi
 
KAKA MAKANISA HAYAFUNGWI, UHURU WA KUABUDU UFUTWE ILI WOTE TWENDE CLUB?????

NAKUSHAURI UOKOKE KAKA KWANI KUOGA TU NDIO HIYARI YAKO ILA KUOKOKA NILAZIMA,,,LAZIMA UOKOKE KAKA ILI HILO PEPO LINALOTAKA UHURU WA KUABUDU ETI USIWEPO KWA TAMAA ZAKO ZA MWILI LIKUTOKE,
Ongea vizuri na mkeo sio kumtisha atabadilika. ILA UKIMLAZIMISHA KUACHA ULOKOLE UNAANDAA MAZINGIRA YAKULA DAWA ZA WAGANGA UTAKUFA ACHA MAMA AKUOMBEE.
 
Naomba ukubaliane na mimi kuwa hata ktk makanisa mengine uliyoyataja wapo watu wa mfano wa mke wako,si kila aliye majini ni sangara kuna hata kobe na wadudu wengi tu.Naomba pia utofauishe kati ya secular na non secular state,na kwa maana hiyo mwanadamu hawezi kushindana na Mungu {zaburi 24:1} hata km wewe tukikukabidhi madaraka ya kuwa raisi.Ni wakati wako wewe{umesema ni mkristo/ulifunga ndoa} kukaa na kuuliza uwepo wa Mungu ktk ndoa yako,maana inawezekana mke wako au wewe nyote mu-viruka njia.Wakati mwingine omba hekima ya ki Mungu ikutawale na kukuongoza kabla huja post mada km kweli wewe muumini wa Mungu wa mbinguni,lakini km ni muumini wa Kanisa its OK
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Mke wako ndiye anayeweza kuwa na matatizo, au wewe mwenyewe. Na kama ni kweli ana matatizo, basi usikute hata huko kanisani anakoenda anaweza kuwa anaenda kwa ajili tu ya kusumbua kondoo wa Mungu walioko kule,...., the chances ni kwamba kwenye kundi la mamba hawakosi kenge, though sina uhakika sana na hili. Maandiko matakatifu yanaasa wake kuwatii waume na waume kuwapenda wake. Aidha hakutii au humpendi au vyote. Na kama ni vyote, basi get the hint!
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

sema yakome kumpoteza mke wako sio wake zetu mbna si wenzio wake zetu wanaenda huko na mambo yanaenda kama kawa.kinachomsumbua mkeo ni ujinga tu wa kiimani
 
Well said. Mimi nilidhani ni mimi niko pekee mwenye mawazo haya. Unjaua wakati wa Mwalimu Nyerere haya mambo yalikuwa regulated. Lakini badae ikawa ruhksa. Sasa hivi juzi nimesikia watu wamelishwa majani kama mbuzi katika kanisa moja la kilokole huko bondeni. Lingine nimesikia hapa bongo hawataki watu waende kutibiwa hospitali. Sasa sijui itakuwaje. Mi naona kuna haja ya kuwa na regulator. Majuzi nilikuwa nchi fulani ambayo wao wameweka criteria ya kusajiliwa kama dini. Otherwise hupati usajili.
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.
Ndoa yako ina matatizo,hata kitanda huwezi kutandikamwanaume mzima unamsubiri mkeo? Otherwise huna nia njema na Ukiristo! Nahisi weweumelelewa vibaya, huwezi kulitukana kanisa la Mungu kisa mkeo hajatandikakitanda, mfano mimi na mke wangu tumeokoka, tunaleakanisa la kilokole hapa Mbozi mjini sijaona kupungukiwa hata kidogo. Naona neemaya Mungu na cheo kinapanda. Wewe ndo mwenye matatizo:
 
Ingeandikwa mada ya kufungia msikiti mada hii isingedumu kwa siku 2.....huu ndo mwisho wa ukisisto Tanzania. Makanisa yamechomwa, wakiristo tumepigwa mawe, nk...moderators please mfungieni huyu mtoa mada na mada hii ifungwe
 
Sio siri ulokole umeshavunja ndoa nyingi hapa nchini. Hapo waanzilishi wa haya makanisa watasema wanajenga au wanabomoa? Wawe wanaweka na semina za ndoa na malezi sio kufukuza pepo tu.
 
Ila mleta mada anachosema kina ukweli ndani yake,tusijekumbuka shuka kukishakucha.
 
.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Mkuu, mie siko kwa Walokole, lakini, umefanya utafiti na kugundua kuwa wanawake wote waliiolewa na walio walokole wana behave kama your wife?
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

darasa la saba- shule ndo tatizo lako
 
Pale kwa Kakobe mpaka utawaonea huruma watoto maana mama anawashindisha na njaa watoto,au amewaacha Nyumbani bila uangalizi kisha mama anakesha kwenye maombi

Jionee huruma kwanza wewe! Halafu umetumwa uwasemee?! Hebu toa takwimu za watoto waliokufa kwa njaa! Yaani wewe unaona huruma watu kwenda kanisani badala ya kuona huruma idadi ya bar zinavyoongezeka kila kukicha!
 
Nina shaka una chuki binafsi na makanisa ya kilokole, kwa nini hujataka serikali iwafungie waganga wa kienyeji au wenye bar.Hata tabia zingine za mkeo ulizoziandika si za kweli! Mshukuru Mungu kukupa mke anayesali wewe! Kasoro zingine kaa na mke zitaisha.
 
mbona mnamshambulia huyo kaka kwa maneno makali wakati mwenzenu anahitaji msaada wa mawazo? nilivyomuelewa mimi ni kwamba amekwazika na mabadiliko ya mke wake, mke anaposhindwa kutimiza responsibilities zake ndani ya nyumba na kupeleka priorities zake kwingine lazma ilete tatizo kwenye ndoa na wanaume wengine ndo huamua kutafuta nyumba ndogo, kwahyo huyu kaka ameongea kwa hasira tu cha kufanya ni kumshauri ni jinsi gani ataweza kumfanya mkewe aweze ku balance mambo yake ya kanisani na nyumbani ili kuepusha mgogoro ndani ya nyumba, me mwenyewe nasali makanisa hayo hayo sidhani kama hata huyo Mungu atapokea dua za huyo dada ikiwa mumewe nyumbani ananung'unika kwasabababu ameshindwa kutimiza wajibu wake, ikumbukwe mwanamke -------- huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Wewe chunguza vizuri hizo ni dalili za mkeo kuwa anatoka nje. Fuatilia kwanza siyo unalaumu makanisa kumbe tatizo mkeo
 
Heri mtu yule asiyekwenda katika njia za wasio haki na wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Zab.1:1

Huyo mke wako kasha kolea wa mchungaji ndio maana hata kitanda hatandiki anawahi dushelele,hamna ulilosema linahusiana na na kanisa kijana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom