Sio walimu tu wanaokopa halafu kukopesha ni kazi za watu unataka wasipate wateja utawapa wewe pesa za kutimiza majukumu yaoNamna ya kuwasaidia hawa walimu ni Serikali kupiga marufuku madeni wasikopeshwe kabisa.Mishahara ya walimu ni mikubwa ila wanavyopenda kukopakopa sasa ni madeni mtupu
Ninajibu kwa mujibu wa majibu Yako, kwani wewe wakati unaajiriwa hukuwa na mkataba?Hivi unaelewa neno per diem kweli au tukurudishe darasani
Heeh! Tunafahamiana kwani, usikute wewe ni mwanafunzi wangu ati.Wewe sio mwalimu
Kwani naibu Waziri wa Elimu ana kiwango gani cha elimu?pia kiwango cha chini kwa walimu kiwe degree kwa ngazi zote
Hiyo ni ndoto Tz hapaMarupurupu ni motisha kubwa ya kazi katika sekta zote na ni muhimu ili kuamsha ali ya wafanya kazi. Hivyo napendekeza serikali kuweka marupurupu (per diem) kwa mwalimu katika matukio yafuatayo;
Kuandaa mitihani ya ndani na nje, hapa ni pamoja na kuandaa mitihani ya mid-term na annual examination ambayo ndio mitihani inayojumuisha na likizo za wanafunzi. Pia mitihani ya mock mkoa na wilaya mwalimu alipwe per diem ili kumuwezesha kutunga mitihani bila stress
Kusahihisha mitihani ya ndani, kama wafanyavyo kwa mitihani ya necta wafanye na mitihani ya ndani kama vile mid term na annual examination
Zamu za walimu, hapa mwalimu wa zamu anahitajika kupata per diem katika wiki yake ya kudamka kila siku kuhakikisha wanafunzi wanakuwa katika nidhamu, usafi na masuala mengine ya kiusalama na kiafya
School tour, kuna zile ziara au study tour hapa mwalimu apewe per diem kwa kazi ya kuwapeleka wanafunzi na kuwarudisha wakiwa salama na wakiwa wamepata elimu ya mazingira
Note: kuwepo kwa hayo marupurupu kutapunguza njaa za kugombania kusimamia uchaguzi
Tuoneeni huruma wakuu nasisi tuna haki ya kula mema ya nchi hiiWaalimu acheni kudeka na kuanza kulialia kama wanawake wasiofikishwa kileleni😀pigenj kazi ikifika 2030 nendeni kwenye kampeni mkavae tisheti zenu za kijani na posho za elfu 20 baaaasi
Du hujui walimu wametufikisha hapa leoWaalimu acheni kudeka na kuanza kulialia kama wanawake wasiofikishwa kileleni😀pigenj kazi ikifika 2030 nendeni kwenye kampeni mkavae tisheti zenu za kijani na posho za elfu 20 baaaasi
Aisee, umesisitiza sana aisee.Tupazie sauti mkuu walimu tuongezewe marupurupu kusahihisha karatasi 500 kunahitaji posho
Ahsante kwa kidogo mkuu kuwaita wakuu wa wizara pia ni jambo jemaAisee, umesisitiza sana aisee.
Sasa hapa inaanzia wapi?
Hapa jukwaani kuna wakongwe wa hizo mambo anza na Madame B trust me huyu yuko jikoni, kama sio Tamisemi atakuwa Min.of Education.
Halafu kuna mtaalamu mwingine KOKUTONA, sijui kama hii ID yake iko active. Ila nimzoefu wa hizo kazi anajua how to make money kupitia hizo kazi.
Wengine siwakumbuki ila hapa jukwaani wapo kabisa watu wapo huko sera zinapotengenezewa...
NdioUnaonekana mpaka sasa neno per diem linakusumbua
Wewe ni ajira mpya,na inaonekana limbukeni,na hata Hilo neno per diem inaoneana hujui linahusu nini.Unaonekana mpaka sasa neno per diem linakusumbua
Nyie ni daraja la watu Kula mema ya nchi na ndiyo watu pekee mnaleta kikwazo cha mabadiliko ndani ya nchi hii Yani nyie waalimu na boda boda tofauti yen ni mmoja analewa kwa harufu ya petrol ndo maana ubongo unakuwa haufanyi kazi vizuri na nyie chaki zinawaharibu ubongo🖐️.Tuoneeni huruma wakuu nasisi tuna haki ya kula mema ya nchi hii
Mkuu hiyo kazi achana nayo tu Bora uwe boda boda maana ualimu na boda boda tofauti yenu ni ndogo sanaMimi kama mwalimu Kwa mitusi iliyotukanwa hapa aisee , kesho siendi kazini nifanye kazi zangu tu