Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

Walimu hawa hawa wa Tanzania au wa Campodia?

Walimu wana muda mchache kufanya kazi, wana likizo 5 kwa mwaka. Hapa ingepaswa zile likizo wanafunzi wakifunga shule na wao walipwe kwa kadiri ya urefu wa likizo

Walimu wanatumiwa na CCM kuiba kura ktk uchaguzi, ni wasaliti

Walimu hawahawa wanaotoa elimu isiyo na ubora ktk shule za kata, na kufanya wanafunzi wengi kufeli

Walimu hawahawa wanaopokea mitaala mibovu na wao wanaipokea bila kuweka migomo

Walimu hawa hawa wanao ona ajira kwao ni kama kengewa kuipata, hawana tofauti na polisi

Walimu hawa wengi wao wana vyeti visivyo na sifa ya kujiendeleza, wengi magumashi walidesa katika ufaulu wao

Na kwa taarifa yao Bodi ya Walimu imeundwa kwa baadae hakuna suala la kupanda daraja kila baada ya miaka 3, daraja litapanda wakisha ongeza elimu

Wengi hawajitambui wanaishi kwa Uchawa na kuwalipisha wanafunzi tozo siziso rasmi
 
Marupurupu ni motisha kubwa ya kazi katika sekta zote na ni muhimu ili kuamsha ali ya wafanya kazi. Hivyo napendekeza serikali kuweka marupurupu (per diem) kwa mwalimu katika matukio yafuatayo;

Kuandaa mitihani ya ndani na nje, hapa ni pamoja na kuandaa mitihani ya mid-term na annual examination ambayo ndio mitihani inayojumuisha na likizo za wanafunzi. Pia mitihani ya mock mkoa na wilaya mwalimu alipwe per diem ili kumuwezesha kutunga mitihani bila stress

Kusahihisha mitihani ya ndani, kama wafanyavyo kwa mitihani ya necta wafanye na mitihani ya ndani kama vile mid term na annual examination

Zamu za walimu, hapa mwalimu wa zamu anahitajika kupata per diem katika wiki yake ya kudamka kila siku kuhakikisha wanafunzi wanakuwa katika nidhamu, usafi na masuala mengine ya kiusalama na kiafya

School tour, kuna zile ziara au study tour hapa mwalimu apewe per diem kwa kazi ya kuwapeleka wanafunzi na kuwarudisha wakiwa salama na wakiwa wamepata elimu ya mazingira

Note: kuwepo kwa hayo marupurupu kutapunguza njaa za kugombania kusimamia uchaguzi
Walimu tunatetewa sana.
 
Wapewe allowances mbalimbali. Sisi private sector ukiongea na baadhi ya watumishi wa serikali kwenye mashirika na taasis nzuri nzuri wale wanakula bata. Wanapewa allowances mbalimbali nasikia mfano nyumba, maji, umeme, usafiri, vocha, risk nk!
 
Namna ya kuwasaidia hawa walimu ni Serikali kupiga marufuku madeni wasikopeshwe kabisa.Mishahara ya walimu ni mikubwa ila wanavyopenda kukopakopa sasa ni madeni mtupu
 
Walimu hawa hawa wa Tanzania au wa Campodia?

Walimu wana muda mchache kufanya kazi, wana likizo 5 kwa mwaka. Hapa ingepaswa zile likizo wanafunzi wakifunga shule na wao walipwe kwa kadiri ya urefu wa likizo

Walimu wanatumiwa na CCM kuiba kura ktk uchaguzi, ni wasaliti

Walimu hawahawa wanaotoa elimu isiyo na ubora ktk shule za kata, na kufanya wanafunzi wengi kufeli

Walimu hawahawa wanaopokea mitaala mibovu na wao wanaipokea bila kuweka migomo

Walimu hawa hawa wanao ona ajira kwao ni kama kengewa kuipata, hawana tofauti na polisi

Walimu hawa wengi wao wana vyeti visivyo na sifa ya kujiendeleza, wengi magumashi walidesa katika ufaulu wao

Na kwa taarifa yao Bodi ya Walimu imeundwa kwa baadae hakuna suala la kupanda daraja kila baada ya miaka 3, daraja litapanda wakisha ongeza elimu

Wengi hawajitambui wanaishi kwa Uchawa na kuwalipisha wanafunzi tozo siziso rasmi
Hebu tupe na sifa za wanaolipwa per diem nazo tuzione
 
Wapewe allowances mbalimbali. Sisi private sector ukiongea na baadhi ya watumishi wa serikali kwenye mashirika na taasis nzuri nzuri wale wanakula bata. Wanapewa allowances mbalimbali nasikia mfano nyumba, maji, umeme, usafiri, vocha, risk nk!
Na hawana chazaidi wanachofanya zaidi ya majukumu yao

Mtu anaenda kukagua mradi analipiwa kila kitu, mafuta, chakula na bado kila siku akiwa ziarani analipwa kwanini mwalimu nae asifanyiwe hayo
 
Back
Top Bottom