Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,888
- 12,684
Marupurupu ni motisha kubwa ya kazi katika sekta zote na ni muhimu ili kuamsha ali ya wafanya kazi. Hivyo napendekeza serikali kuweka marupurupu (per diem) kwa mwalimu katika matukio yafuatayo;
Kuandaa mitihani ya ndani na nje, hapa ni pamoja na kuandaa mitihani ya mid-term na annual examination ambayo ndio mitihani inayojumuisha na likizo za wanafunzi. Pia mitihani ya mock mkoa na wilaya mwalimu alipwe per diem ili kumuwezesha kutunga mitihani bila stress
Kusahihisha mitihani ya ndani, kama wafanyavyo kwa mitihani ya necta wafanye na mitihani ya ndani kama vile mid term na annual examination
Zamu za walimu, hapa mwalimu wa zamu anahitajika kupata per diem katika wiki yake ya kudamka kila siku kuhakikisha wanafunzi wanakuwa katika nidhamu, usafi na masuala mengine ya kiusalama na kiafya
School tour, kuna zile ziara au study tour hapa mwalimu apewe per diem kwa kazi ya kuwapeleka wanafunzi na kuwarudisha wakiwa salama na wakiwa wamepata elimu ya mazingira
Note: kuwepo kwa hayo marupurupu kutapunguza njaa za kugombania kusimamia uchaguzi