Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

Serikali iongeze marupurupu kwa mwalimu

Ndio

Wewe ni ajira mpya,na inaonekana limbukeni,na hata Hilo neno per diem inaoneana hujui linahusu nini.
Sasa kusahihisha mitihani ya ndani kunahusiana vipi na per diem?
Nimekuacha maana unaonekana ni slow learner fuatilia comments utaelewa mdogo mdogo
 
Nyie ni daraja la watu Kula mema ya nchi na ndiyo watu pekee mnaleta kikwazo cha mabadiliko ndani ya nchi hii Yani nyie waalimu na boda boda tofauti yen ni mmoja analewa kwa harufu ya petrol ndo maana ubongo unakuwa haufanyi kazi vizuri na nyie chaki zinawaharibu ubongo🖐️.

Nyie mnakuwaga bize kupakiwa kwenye maroli kama magunia ya mahindi kwenda kwenye mikutano ya Wala mema ya nchi huku kile chama chenu cha waalimu kina madudu kibao na makato yasiyo na kichwa Wala miguu lakini hamjawahi kupiga kelele🚮
Marupurupu yakiongezwa hayo malalamiko yenu kwa walimu yatapungua
 
Mnashirikiana na serikal kuiba kura afu mnataka muongezewe marupurupu maskini wa akili nyie

Ayo ndo matokeo ya kushirikiana na wezi si huwa mnaona raha kula pesa pindi ya uchaguzi afu mnasahau kuna maisha baada ya uchaguzi

Kwanza uwalimu ni wito km unaona huwezi acha kazi watakuja wenye wito wao watafanya kazi ata bure
Kazi gani ya serikali sio wito mkuu?
 
Back
Top Bottom