Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
Mkuu najua wewe ni mtu wa details. Hebu tupe snapshot ya kilichotokea. Kwangu mimi waziri kama kiongozi mkubwa wa serikaki ni muhimu kufuata sheria. Inawezekana mahakama zetu zina mapungufu mengi. Lakini ndo chombo tulichonacho.Ni waziri wa ardhi.
Alichofanya ni sahihi.
Tukiamua kuignore maamuzi ya mahakama, it will be anarchy.