5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 311
- 273
Dunia ya leo nani atakuruhusu uwe dikteta?Ni kati ya watu wachache Tanzania wenye akili timamu. Nchi zote Ulaya zilitumia ukatili mkubwa kupata maendeleo, utumwa, ukoloni hadi sasa ukoloni mamboleo.
Kwa zaidi ya miaka 500 ziliongozwa kiditekta. Madikteta wenye dhamira nzuri, kusaidia nchi zao watu wao. Uarabuni, China, Japan, Korea wote walikuwa ni madikteta ila wameendeleza nchi zao.
Ni lazima ufikie level flani, kielimu, kiuchumi, kujitambua kupewa hii Western Democracy. Mtoto wako haumpi democracy mpaka afikie level flani ya kujitambua.
Nchi inaruhusu kila kitu kisa Wazungu wamesema na nchi ya ajabu sana.