Serikali imetangaza ajira 15,000/= kuziba pengo la waliofoji vyeti!

Kutokana na upungufu watumishi baada kutolewa watumishi wenye vyeti fake takribani watumishi 10,000, wilaya ya kongwe imekumbwa na sakata hilo kwa kubainika watumish 98 ktolewa hvo imesababisha kuwepo kwa upungufu watumishi na kufanya baadhi vituo afya kufungwa kwa kukosa watumishi,

Majibu ya serikali ktk ktatua changamoto hii wametoa TAMKO kuwa serikali imetangaza ajira ef15, kuziba pengo! Je hizo ajira wameztangaza kweli au ajira za majukwaani?

Chanzo,I.T.V taarfa ya habari!
Kichwa cha habari na maelezo ya ndani vinatofautiana,, 15,000/= hizi ni shilingi siyo nafasi za kazi! Hivi huko shuleni siku hizi mnafundishwa ujinga?
 
Unajua maana ya sanaa au umekalili? Ajira cku hz ni zaidi ya Tsh kwa vijana! Mtu anaweza kutumia fani Fulani ili kufkisha maidhui lengwa! Bora uwe mjnga usiwe mpumbavu wa kukalili na usiebadlka!
 
Wewe ni nyoko,, kama huko kwenu ndo namba mnaandikaga kwa kuweka alama hii "/=" mtakuwa mapumbavuuu!! Hiyo itakuwa sanaa ya nokho!!
 
Unajua maana ya sanaa au umekalili? Ajira cku hz ni zaidi ya Tsh kwa vijana! Mtu anaweza kutumia fani Fulani ili kufkisha maidhui lengwa! Bora uwe mjnga usiwe mpumbavu wa kukalili na usiebadlka!

Wewe ni kilaza usijitetee hakuna cha fani wala maudhui

Bandiko lako limejaa makosa kibao ya kiuandishi

Punguani wahed
 
Back
Top Bottom