Serikali imetangaza ajira 15,000/= kuziba pengo la waliofoji vyeti!

Endelea na ubishi wako Tanesco wametoa ajira zaidi ya 100
Hivyo zimebaki 14,900.
Zaidi ya 100? ina maana hazijulikani ni ngapi? si mtaje tu figure kamili labda 101 au 120 au 105, All in All ajira walizotangaza Tanesco hazifiki 100 mkuu
 
Wewe sakata la vyeti lishazimika lenyewe.hauon wa serkali kuu wanaendelea na kazi hakuna aliyeguswa?. Nyie serikali za mitaa mlikimbia wenyewe rudin mkachape kazi
 
Juzi wizara ya afya inatangaza ajira kwa ma Dr wasio watz wakati sisi wazawa tupo mtaani inasikitishaa
 
Zaidi ya 100? ina maana hazijulikani ni ngapi? si mtaje tu figure kamili labda 101 au 120 au 105, All in All ajira walizotangaza Tanesco hazifiki 100 mkuu
Hata kuhesabu hujui?

Daah yaani nikichukua Madereva 28 assistant Accountants 15 kuna procurement officer 15 nyingine Kibao hapo tuu 58.
 
Back
Top Bottom