Serikali imetangaza ajira 15,000/= kuziba pengo la waliofoji vyeti!

Iyo ni mipango yao tu ambayo ipi kwenye makaratasi,Tuvuteni subra watajakutoa karibia na uchaguzi kwani izo ndo zao wanasiasa
 
Kutokana na upungufu watumishi baada kutolewa watumishi wenye vyeti fake takribani watumishi 10,000, wilaya ya kongwe imekumbwa na sakata hilo kwa kubainika watumish 98 ktolewa hvo imesababisha kuwepo kwa upungufu watumishi na kufanya baadhi vituo afya kufungwa kwa kukosa watumishi,

Majibu ya serikali ktk ktatua changamoto hii wametoa TAMKO kuwa serikali imetangaza ajira ef15, kuziba pengo! Je hizo ajira wameztangaza kweli au ajira za majukwaani?

Chanzo,I.T.V taarfa ya habari!
na hao wanawekwa kuziba pengo watatuma maombi kwa njia gani mkuu? kama kwa barua pepe website gani na kama njia ya posta sanduku gani???????
 
Back
Top Bottom