Serikali imetangaza ajira 15,000/= kuziba pengo la waliofoji vyeti!

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Kutokana na upungufu watumishi baada kutolewa watumishi wenye vyeti fake takribani watumishi 10,000, wilaya ya kongwe imekumbwa na sakata hilo kwa kubainika watumish 98 ktolewa hvo imesababisha kuwepo kwa upungufu watumishi na kufanya baadhi vituo afya kufungwa kwa kukosa watumishi,

Majibu ya serikali ktk ktatua changamoto hii wametoa TAMKO kuwa serikali imetangaza ajira ef15, kuziba pengo! Je hizo ajira wameztangaza kweli au ajira za majukwaani?

Chanzo,I.T.V taarfa ya habari!
 
Siasa ni shda, kila MTU anatangaza aonekane nae anajua malengo ya serikali yake!
 
Back
Top Bottom