Serikali imeshindwa kuwadhibiti matapeli wa minada?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,102
Juzi nimepita Mbezi ya Kimara kuna mmama kapigwa sh elfu 60 live live na wale matapeli wanaouza nguo na bidhaa kwa mnada.

Hao ni matapeli, na wale wanao kuwa wana bid huwa wenzao na mtu akitoa pesa anapewa bidhaa feki. Serikali/ Ulinzi shirikishi waanze kudili na watu hawa wanaumiza sana watu.

Ipo siku watakuja kuzingirwa na wananchi wenye hasira kali ikawa kama Rwandan Genocide.
 
Hao raia ndio ndio sababu za kuendelea kuwapo hawa wapigaji maana watu wanapigwa kila siku lakini hawajifunzi.
 
Hao raia ndio ndio sababu za kuendelea kuwapo hawa wapigaji maana watu wanapigwa kila siku lakini hawajifunzi.
something must be done.. sio raia wote wana ufahamu. sisi kama jamii ni lazima tuwasaidie ndugu zetu wasio na maarifa
 
Back
Top Bottom